Naomba kutamka kuwa sina imani na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe.
Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.
No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?
No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.
No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.
Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa
Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.
Enough is enoug. After all, 20 years as Party Chairman, is more than enough.