Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Unakimbilia wapi mzee, mnatamka kila siku Demokrasia afu unakimbia Box.

Box ndilo kitaamua ni Lissu ama Mbowe!! kumtaka Mbowe ajitoe hiyo siyo Demokrasia ndugu.
.na atakayeshindwa asikimbie baki abaki kujijenga chama.

Ka mchezo ka Demokrasia ni katamu sana - kitu ndani ya Box ukipigwa yaani kama hujapigwa vile - ha ha ha
 
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).

Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.

No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?

No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.

No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.

Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa

Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.

Enough is enoug. After all, 20 years as Party Chairman, is more than enough.

NB: Mbowe atambue kuwa ana thamani sasa kwasababu CHADEMA alioijenga, ina thamani kubwa mbele ya watanzania. CHADEMA ikipoteza thamani, hata yeye hatokuwa na thamani tena na hao wanamtumia, watamtupa yeye na chama chake mithili ya jongoo na mti wake.
Pole Msigwa, hii I'd siku nyingi naifatilia
 
Nitashangaa sana kama kuna kijana atakomaa kukosoa serikali mpka apate madhara ya kukamatwa au kupata matatizo zaidi kama washika usukani ndo hawa ambao kuikosoa serikali ya ccm ni sahihi lakini kukosoa chadema kutokana na mambo ya rushwa sio sawa na ni kukosa kutunza siri shenzi kabsa
 
Nitachukua maamuzi yangu binafsi baada ya uchaguzi huo kuisha.
 
Back
Top Bottom