Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Watu wengi wenye akili tuliowasuport cdm tumeisha achana nao kitambo baada ya kuanza kuona mambo ya ajabu

1. maridhiano,
2. mama anapewa tuzo. Na NAWACHA Siku ya wanawake duniani
3. Mama anatoa mil 150 kanisani kule Moshi
4. Abdul anatoa hela ya uchaguzi
5. Wenje anampeleka Abdul tegeta kwa lissu
6. Machawa wanamtukana mgombea mitandaoni

Hakika chadema wamepotea
 
Una personal issue na mwenyekiti wewe..

Shida ni mbowe au shida ni Nini 🏃 🏃 🏃 🏃
 
Mbowe ni kamanda kweli kweli lakini kwa sasa namuelewa sana Hali ya ubinadamu na familia imemuingia zaid,kwa sasa anakusanya pesa/mali Kwa ajili ya urithi WA familia yake.
No wonder yupo tayari kupokea mtonyo wowote,iwe Kwa direct au kupitia vijana wake.
Lissu inamuuma why masihara yanafanyika sasa wakati watu wengine wamepata ulemavu wa kudumu ikiwamo yeye binafsi!
 
Kwani Si Ukapige Kura umchague Unayemtaka?

Mbowe Ni Mwanademokrasia Halisi.

Anagombea na Uchaguzi uwe wa Huru Na Haki.

Haogopi Kushindwa.

Mbowe ni Jasiri, Hatishiki na anataka Sanduku la Kura Liamue.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala.
 
Mbowe ana haki kikatiba kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama. Amekosa utashi wa kuachia nafasi hiyo kwa heshima, ngoja kura zitaamua. Unapozira unaonekana hata wewe una agenda yako iliyokosa nafasi.
 
Halafu eti mtu anajitolea hata kufa kwenye uozo kama huo , yale matukio ya watu kutekwa kwa hili linaloendelea inafikirisha sana🤔🤔🤔
Nawaonea huruma wakina soka na mdude na wengineo

Ova
 
Amekosa utashi wa kuachia nafasi hiyo kwa heshima, ngoja kura zitaamua. Unapozira unaonekana hata wewe una agenda yako iliyokosa nafasi.
Kura zinapigwa na machawa wake akina Boni Yai, Wenge, Yericko Nyenyere na Devota Minja, Ntobi, n.k. Unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…