Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Huu uchaguzi system ya ccm itauingilia kama ule wa kumchagua mkuu wa KKKT

Mama abudul na miccm haitakubali chadema iongozwe na mtu Jasiri kama Lisi
 
Mkuu tusikate ta

Mkuu tusikate tamaa, tumtafutie kura lissu.Kwa mabadiliko ya kweli twende na lissu
. Mkuu, hela ya Mama Abdulu itatumika sana kwenye huu uchaguzi pamoja na figisufigisu zingine nyingi tu. Subiri utakuja kuniambia.
 
Huu uchaguzi system ya ccm itauingilia kama ule wa kumchagua mkuu wa KKKT

Mama abudul na miccm haitakubali chadema iongozwe na mtu Jasiri kama Lisi
Hapa umeongea madini matupu.
 
Aliyekuambia FAM alikuwa/ni mpinzani ni nani?

Mkiambiwa yule ni mtu wa state mnakaza mafuvu kama mazombi!
 
Unajiondoa kabla ya uchaguzi, sasa si unampunguzia kura lisu? Au wewe ni kapuku tu kwenye chama hupigi kura kwenye uchaguzi wa mwenyekiti?
 
Usijiondoe mapema, tupambane MPAKA mwisho, tutengeneze upinzan wa kweli,
 
Mkuu mpambanaji hachoki akichoka keshapata, rudisha moyo hata mimi nilitaka Mbowe apumzike lkn ndivyo sivyo cha msingi tusubiri uchaguzi na matokeo.
 
Si mlikuwa mnasema CCM ndio walikuwa hawamtaki Mbowe? Leo tena mmegeuka kuwa Mbowe ni pandikizi anatumiwa nq CCM?
 
Hujawahi kuwa CDM wewe wala hufai kuwa pale wewe ni zuzu la CCM.
 
Wewe uko kwenye orodha ya kufukuzwa uanachama, bora ukimbie mapema, chama hakitaki watu wa hovyo. Usikanyage Mikocheni wala Ufipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…