Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

πŸ˜‚πŸ˜‚ Kunusuru nini weye, Sema wajomba hawataki usumbufu kwenye vitalu vyaoπŸ€”πŸ˜‚ wanataka wajimwae mwae wenyewe. Kwa mafweza waliotoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata Mimi ningewasahau Wallah.
huo ni upotoshaji,

wananchi wazalendo waliokua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro, hamehamia msomera,

na kwahivyo pale ngorongoro wamenusuru kupotea kwa hifadhi yenyewe, lakini pia wamenusuru kuharibika mali asili hifadhini, zaidi sana wamesaidia kurahisisha utunzaji wa mali asili ile muhimu sana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
Hapana , niko Front page, Hujawahi niangusha 😁😁
bampa to bampa sio?

Yes,
usiondoke ili ushuhudie wise replies with full detailed informations bila mbambamba, dah aiseπŸ’
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe ndio mpotoshaji mbona ipo kihalaliπŸ’°πŸ’° au nikupe na Grid ref za becon mipaka za kule wasso? πŸ€”
 
bampa to bampa sio?

Yes,
usiondoke ili ushuhudie wise replies with full detailed informations bila mbambamba, dah aiseπŸ’
Wapatie Madini..

Itawachukua muda kugundua wewe ni Walking Library 😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe ndio mpotoshaji mbona ipo kihalaliπŸ’°πŸ’° au nikupe na Grid ref za becon mipaka za kule wasso? πŸ€”
Pale kulikua na Hospital na huduma zote za kijamii,Serikali imewakuta wamasai pale ila leo wanahamishwa.Na kijiji chao kufutwa?

Mh! ngoja tuone hatima ya Kizimkazi afterrwards
 
Pale kulikua na Hospital na huduma zote za kijamii,Serikali imewakuta wamasai pale ila leo wanahamishwa.Na kijiji chao kufutwa?

Mh! ngoja tuone hatima ya Kizimkazi afterrwards
Wamasai wamekuwa wakiishi hapo zaidi ya miaka 100 leo hii wanatolewa duh

Ova
 
Propaganda tuu hizi.
Ngorongoro masai wameishi miaka na miaka nini kibaya wanachofanyaaaa?
Wale wanafuga tuu ila kilimo hawafanyi ili kulinda mazingira na ni sehemu ya kivutio kikubwa sana pale ngorongoro. Yan watu kuishi na wanyama pori.
Ila hili la kuwaamisha sijui limekaaje
 
shukrani sana mrangi,
kwani umeumia?πŸ’

ukweli saa zingine ndivyo ulivyo, utazoea tu pole pole...
Nasikitika tu maana wamasai wamekuwa wakiishi huko miaka na miaka,na wamekuwa wakiishi huko kabla hata ccm sjui TANU haijaanzishwa
Ngorongoro na maeneo yake naijuwa vizuri syo blah blah
I hope mzee wangu wa kimasai clemence parsiato enkirisani taa ele Lee yupo huko bado!
Nawapa pole sana wamasai huko

Ova
 
Just in a brief mimini baba wa watoto wazuri wawili.
Wacha niwahudumie kaka nitapotea bureee.
Hiki Chama Mungu ndio anaandaa mpango wake
usimtaje Mungu kwa majonzi na hofu basi....dah,

kua jasiri, jiamini baba wa watoto wazuri wawili....

kwa Mungu ni uhakika, yote yanawezekana kwa imani na ujasiri, na siyo unyonge na hofu πŸ’
 
inafaa uwapongeze pia,
kwa uzalendo na hiyari yao kuhamia kijiji cha msomera mkoani Tanga ambako ndiko wanaishi maisha ya furaha na amani zaidi mrangi?

hakuna mtu anaishi hifadhini ngorongoro tena mrangi, tangu muda mrefu sasa, kwasabb waliokua wakiishi huko wote wamehamia msomera....

ulio waona ni watalii wa ndani kutoka mikoa jirani na eneo ngorongoro. si uliona walikua na misururu ya magari ya kitalii waliyokodi ili kufika eneo lile ama?πŸ’
 
hakuna propaganda gentleman, it's real...

propaganda kivip hali ya kua wazalendo wenye asili ya kimasai wamehamia msomera mkoani Tanga na wanaendelea na maisha yao vizuri tu huko?

hakana mtu yeyote hifadhini ngorongoro hivi tunavyo chat, kwa hiari yao na kwa maslahi mapana ya Taifa, wote walishahamia msomera mkoani Tanga πŸ’
 
Wamasai wamekuwa wakiishi hapo zaidi ya miaka 100 leo hii wanatolewa duh

Ova
kwahivyo miaka 100 ndio ingezuia wasihamie msomera mkoani Tanga, right?πŸ’

watu wale, ni wangwana na ni wazalendo kweli kweli ndio maana wamehamia kwa hiyari yao ili kuepusha uharibifu wa mazingira ya hifadhi na kupotea kwa mali asili na urithi wa Taifa πŸ’
 
Fedha ya kuwahamishia huko ilitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…