Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
huo ni upotoshaji,๐๐ Kunusuru nini weye, Sema wajomba hawataki usumbufu kwenye vitalu vyao๐ค๐ wanataka wajimwae mwae wenyewe. Kwa mafweza waliotoa๐๐๐ hata Mimi ningewasahau Wallah.
wananchi wazalendo waliokua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro, hamehamia msomera,
na kwahivyo pale ngorongoro wamenusuru kupotea kwa hifadhi yenyewe, lakini pia wamenusuru kuharibika mali asili hifadhini, zaidi sana wamesaidia kurahisisha utunzaji wa mali asili ile muhimu sana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote ๐