ni katika kuhifadhi mali asili na mazingira ya hifadhi za Taifa ambazo ndio urithi wa Taifa zisipotee....Pale kulikua na Hospital na huduma zote za kijamii,Serikali imewakuta wamasai pale ila leo wanahamishwa.Na kijiji chao kufutwa?
Mh! ngoja tuone hatima ya Kizimkazi afterrwards
ni fedha ya serikali sikivu ya CCM iliyotokana na utalii katika maeneo ya hifadhi, kodi, tozo na ushuru kidogo ambazo mimi na wewe tunatozwa na serikali kwa maslahi mapana ya waTanzania wote...Fedha ya kuwahamishia huko ilitoka wapi?
dah,πππ Wewe ndio mpotoshaji mbona ipo kihalaliπ°π° au nikupe na Grid ref za becon mipaka za kule wasso? π€
Hivi ni kwa nini hasa nyinyi Chawa ambao kazi yenu kubwa ni kusifu na kuabudu Watawala huwa mnakuwa na upeo mfupi Sana wa akili (short-sighted mind) ???? Wengi wenu kwa nini mna uwezo Mdogo Sana ktk kujenga Hoja au ku-reason??? Why????Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale waTanzania wazalendo walikubali kuondoka kutoka hifadhini na kwenda kuishi katika eneo mbadala walilotengewa huko msomera mkoani Tanga..
Wananchi hawa wazalendo nchini, kaya zaidi ya elfu moja, zenye watu zaidi ya elfu nane, walikubali wito wa Serikali wa kuondoka maeneo yale, ili kuepusha uharibifu wa mazingira ya hifadhi na kutunza mali asili katika eneo hilo ambazo zilikua zimaanza kuharibika na zilikua hatarini zaidi kupotea na kutoweka kabisa...
Na kwa hatua za kisheria na kikatiba ilizichukua serikali, eneo la hifadhi ya Taifa ya ngorongoro hakuna tena watu wanaishi ndani yeke..
Wavamizi wa hifadhi zote za Taifa nchini watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria, ili kuilinda na kutunza maliasili za Taifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote...π
Mungu Ibariki Tanzania
sasa ndrugu muerevu mwenye upeo mkubwa hapo umepanic au umehemka?π€£Hivi ni kwa nini hasa nyinyi Chawa ambao kazi yenu kubwa ni kusifu na kuabudu Watawala huwa mnakuwa na upeo mfupi Sana wa akili (short-sighted mind) ???? Wengi wenu kwa nini mna uwezo Mdogo Sana ktk kujenga Hoja au ku-reason??? Why????
sasa ndrugu muerevu mwenye upeo mkubwa hapo umepanic au umehemka?π€£
na mbona sasa,
huna mawazo mapya wala fikra mbdala dhidi ya hoja ya ukweli jukwaani?
ubaya uko wapi?, wananchi wazalendo waliokua wakiishi ndani ya hifadhi ya ngorongoro kwa kuzingatia maslahi mapana ya waTanzania wote, na kwa hiyari yao na dhamira zao njema wakahamia msomera mkoani Tanga, kuna ubaya ubwela wowote hapo ndrugu zango?π
halafu relax tu gentleman π
Rudini shule aisee ili mwende kupunguza ujinga, mnatia aibu.na kuwaambia ukweli tutawaambia tu vile vile bila mbambamba yoyote π
Wale waarabu wameingiaje mleni fedha ya serikali sikivu ya CCM iliyotokana na utalii katika maeneo ya hifadhi, kodi, tozo na ushuru kidogo ambazo mimi na wewe tunatozwa na serikali kwa maslahi mapana ya waTanzania wote...
hata hivyo,
kwa kuzingatia maslahi mapana kwa Taifa, wananchi waliokua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro kwa hiyari yao walihamia msomera mkoani Tanga π
Duhusiumie sana mrangi ndivyo hali ya dunia ilivyo usisikitikie sana ukweli π
elimu Tanzania itaendelea kutolewa bure, bila kuzingatia ushirikiana wa u huyo anaekupotosha na utu uzima wako...Rudini shule aisee ili mwende kupunguza ujinga, mnatia aibu.
Ndio maana Tundu Lissu alisema kwamba hawezi kurudi CCM kwa sababu yeye "ana akili timamu.," Sasa nimemuelewa vizuri Sana kuwa anamaanisha nini.
Duhhakuna namna nyingine tafadhali, ukweli utabaki bale pale kwa wazalendo wa ngorongoro msomera π