Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
ni katika kuhifadhi mali asili na mazingira ya hifadhi za Taifa ambazo ndio urithi wa Taifa zisipotee....Pale kulikua na Hospital na huduma zote za kijamii,Serikali imewakuta wamasai pale ila leo wanahamishwa.Na kijiji chao kufutwa?
Mh! ngoja tuone hatima ya Kizimkazi afterrwards
kwa kutambua hilo na kwa uzalendo wa kiwango cha juu sana, wananchi waliokua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro, kwa hiyari yao walihamia msomera mkoani Tanga, na wanaendelea na maisha yao kama kawaaida 🐒