inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza.
Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa kanyooka kupita maelezo.Kelele zikawa nyingi mno,,kabana sana,kaua demokrasia, n.k.
Awamu hii tunaye mama.tena huyu ni mama hasa,kwa maana ya kwamba ananhisia na mapenzi kama mama wa kimwili kabisa na taifa lake.Na kusema kweli amejitahidi sana kuiweka nchi katika mzani.Anasikiliza,anashaurika,anaona,anaumia,anafanya jitihada kubwa sana nchi iwe mahali salama kwa kila mtu.Nachukizwa sana na vitendo vya kumshambulia Mhe Rais personaly,matusi ya nguoni,matusi ambayo hata hauwezi kumuambia mzazi wako.Kama ni kukosoa kwanini tusikosoe sera na hoja.Siyo matusi personal attacks.Hii haijakaa vizuri kabisa.Ni kujitafutia laana.
Mungu atusaidie
Tumpr mama nafasi,tena nasema mama nikiwa na fahari kabisa ya kusema mama.Tumpe nafaso na tumuonyeahe ushirikiano.Kuongoza nchi siyo kazi rahisi.Wewe chukulia mfano tu familia yako inavyokuhenyesha,sembuse nchi.
Namaliza kwa kusema mama aheshimiwe.