Ni wakati sahihi wa Kingai kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake

Ni wakati sahihi wa Kingai kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake

Yaani hapo Siro,Kingai,Mahita na wenzao nao watajiita ni polisi waliolitumikia jeshi la polisi kwa weredi?. Yaani vurugu zote hizo,vikao,trip zote moshi,arusha,dar na kwingineko. Saa,siku,miezi hatimae miaka wanaaga kabisa majumbani kwao kuna kesi nzito wanaishughurikia. Hatimae wanaambulia ziro kabisa. Ni aibu.
 
Lijenje kama ulikojificha toka sasa tukuone dpp kafanya vitu vyake
 
Hivi kashinda au kaombewa msamaha
Kwenye hukumu ya mwisho, jaji alitamka nini?

Hakukuwa na neno msamaha wala kushinda, bali alisema kuwa, aliyekuwa akiwashtaki Mbowe na wenzake, yaani DPP, amemletea taarifa kuwa hapendi kuendelea na hivyo kesi, na hivyo yeye jaji anatoa amri washtakiwa wote kuachiwa huru mara moja.

Kilicho dhahiri ni kwamba aliyekuwa akiwashtaki Mbowe na wenzake, kaamua kuachia kesi njiani, kwa uwezekano mkubwa kuona, nafasi ya yeye kushinda, ni finyu au haipo kabisa.
 
Baba Jambazi toto Jambazi kuna familia nyingine zimelaaniwa

Kuna clip moja ilikuwa inazunguka IGP mstaafu Mahita anasonga ugali jikoni!!! Alijaribu ubunge Morogoro akashindwa inavyoonekana amefulia siku hizi!! Yale mabasi ya BUFFALO aliyokuwa anayakingia kifua nayo hayapo!!!
 
Back
Top Bottom