Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Yaani hapo Siro,Kingai,Mahita na wenzao nao watajiita ni polisi waliolitumikia jeshi la polisi kwa weredi?. Yaani vurugu zote hizo,vikao,trip zote moshi,arusha,dar na kwingineko. Saa,siku,miezi hatimae miaka wanaaga kabisa majumbani kwao kuna kesi nzito wanaishughurikia. Hatimae wanaambulia ziro kabisa. Ni aibu.