Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa.

Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila miongozo.
 
Back
Top Bottom