Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Pasiko Bwana
 
Pia unaweza kukokotoa namna hii.

300 000 000 ÷ 191 000 000 000 =

(3 ÷ 1910 ) × 100 = 0.157 %

Barrick wamelipa 0.16% ya deni lote.

Makisio ya haraka ni sawa na mtu akuibie sh 1000 halafu wewe ukubali akulipe senti 16.
 
Kuna watu wananifaika na mgawo WA hista za uwekezaji ambazo ni muwekezaji na wazawa. Wazawa ni kinani? He baada ya kuondoka adui Yao mkubwa wapo tayari kuendeleza madai? Kifupi Bora upiganie tumbo kuliko kupigania Tanzania imejaa unafiki na mawazo ya kimaskini. Mtu asijiamini na kujitambua ni ngumu sana kusadia. Juhudi zinafanyika kuhakikisha wananchi wanaaminishwa hapakuwa na msingi WA madai hayo.
 
Si mngeomba tu kuliko kuwa blackmail kwa madai ya uongo? Au mliomba mkanyimwa mkaona muwabambikie kama ilivyokua ada?

Bahati mbaya mkawakuta wazungu ni wasomi na hawaburuzwi, mkakubali wenyewe kukaa mezani.
Haswa! ujanja kupata bibie, 700 B si haba
 
Ni mazuzu
 
Inawezekana
 
Moja ya vitu ambavyo JPM aliisaidia hii nchi na WaAfrica kwa ujumla ni kuitingisha Barrick na kuionyesha dunia huku Africa sio watu wote WAPUMBAVU.... bali ni wajinga na wapumbavu wachache ndio husababisha yoote haya.

Barrick kwa sasa imebadilisha baadhi ya strategies zake za kufanya kazi Tanzania baada ya ule mgogoro, ikiwa ni pamoja na kuwepo wenyewe kwenye operation na sio kuendelea kudeal na madalali wahuni kama ACACIA mara sijui PANGEA mara ABG nk ili watu wapigie 10% huko.., hii imesaidia kuwepo kwa kampuni iitwayo TWIGA kama joint venture ya GOT na BARRICK pamoja na kuongeza baadhi ya shares za nchi yetu.

TL ni moja yawanufaika kwa ACACIA, yeye na "Shangazi" kupitia kampuni ya IMMA advocate, binafsi naona alikuwa na maslahi ya moja kwa moja na ACACIA..

Huwezi kudeal na BARRICK mamafia kupitia mifumo hii ya kisheria inayomilikiwa na hawa wala rushwa, wezi na wanafiki wanaowaza maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, njia pekee ya kudeal na Barrick ni either uwe mafia zaidi yao au "UJITOE AKILI" NA KUWACHANGANYA KABISA.
JPM anapaswa kupewa tuzo kwa kuwatingisha hawa watu kwa maslahi ya Taifa..

TL anawaza "KITOTO" na sio mtu wakumuamini, uwezo wa mambo ya kidunia ni mdogo sana sana kudeal na haya mambo zaidi ya kuongozwa na mihemuko ya kisiasa na kiburi cha ujuaji, TL anaweza kuwa mzuri kwenye taaluma yake ya sheria kama ambavyo kila mtu anaweza kuwa mzuri kwenye taaluma yake lakini sio UELEWA MPANA WA MAMBO...
 
ACACIA ilikuwa kampuni ya kihuni aka middle man iliyotengezwa na BARRICK kulinda image yake incase of problems, kupitia ACACIA 10% zoote za wanasiasa wapumbavu na wajinga wote wabinafsi zilikuwa zikipita huko...

ACACIA haipo popote Africa kwenye business na Tanzania ni sehemu pekee Barrick alioperate kupitia Agency ( ACACIA) lengo ni kufanya cover siku kibao kikigeuka.

Watanzania tungekuwa na akili sana kama tungeandamana kushinikiza wanufaika woote wa ACACIA na uwepo wake watafutwe wafirisiwe na kukamatwa maana wameitafuna sana nchi yetu.
 
ukiondoa maneno yanayoudhi, zinabaki facts ulizowasilisha. ahukumiwe kwa hizo facts. ukwell ni kwamba wamekiri alikuwa right. ss kama mlimhukumu na mlikosea kuna ubaya gani kusema "...we're sorry, you were very right and we were wrong". ni uungwana pia... au!
 
😅😅😅Daah
 
Wahuni ni ccm iliyowakabidhi rasilimali za Watanzania kwa maslahi yao
 
Pia unaweza kukokotoa namna hii.

300 000 000 ÷ 191 000 000 000 =

(3 ÷ 1910 ) × 100 = 0.157 %

Barrick wamelipa 0.16% ya deni lote.

Makisio ya haraka ni sawa na mtu akuibie sh 1000 halafu wewe ukubali akulipe senti 16.
Pasca Mayalla alisema nikishika Uchumba
 
Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Ndio maana Mbunge Msukuma anawadharau wasomi kama akina Pascal Mayalla.

Unaona hizo aguement zake za ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…