Hahaha....basi ungeandika na wewe mcheleKama umeandika pumba vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha....basi ungeandika na wewe mcheleKama umeandika pumba vile?
🤣🤣🤣Mataga watakuja kupongeza uhamuzi wa serikali kusamehe. Watasema ni uungwana
Pasiko BwanaI heard something like this kuwa he pulled his own gun using his own hand and done him away!. I don't buy this!, I just don't believe that!.
Ila kama ni kweli, karma imeisha mshughulikia, karma ina ubaya mmoja na uzuri mmoja. Ubaya wa karma unalipwa kwa kadri ya matendo yako, ukitenda uovu utalipwa uovu, ukiua, utauliwa, ila pia ukitenda mema utalipwa mema.
Mtu anaweza kutenda uovu halafu akatenda wema mkubwa kuliko ule uovu, huu wema ukaufuta ule uovu akashangaa kumkuta Osama, Gadafi na Saddam peponi halafu Bush, Blair na Obama wakaenda motoni!.
Karma pia ina uzuri mwingine, ukiadhibiwa na karma deni la karma linakuwa limelipwa in full na baada ya hapo unabarikiwa, hivyo huyu jamaa yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Pia unaweza kukokotoa namna hii.
300 000 000 ÷ 191 000 000 000 =
(3 ÷ 1910 ) × 100 = 0.157 %
Barrick wamelipa 0.16% ya deni lote.
Makisio ya haraka ni sawa na mtu akuibie sh 1000 halafu wewe ukubali akulipe senti 16.
Kuna watu wananifaika na mgawo WA hista za uwekezaji ambazo ni muwekezaji na wazawa. Wazawa ni kinani? He baada ya kuondoka adui Yao mkubwa wapo tayari kuendeleza madai? Kifupi Bora upiganie tumbo kuliko kupigania Tanzania imejaa unafiki na mawazo ya kimaskini. Mtu asijiamini na kujitambua ni ngumu sana kusadia. Juhudi zinafanyika kuhakikisha wananchi wanaaminishwa hapakuwa na msingi WA madai hayo.Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Haswa! ujanja kupata bibie, 700 B si habaSi mngeomba tu kuliko kuwa blackmail kwa madai ya uongo? Au mliomba mkanyimwa mkaona muwabambikie kama ilivyokua ada?
Bahati mbaya mkawakuta wazungu ni wasomi na hawaburuzwi, mkakubali wenyewe kukaa mezani.
Ni mazuzuHakuna anayejali yaliyoko nyuma ya kuibuka hilo suala sasa, lakini toka wakati lilipoibuka huko nyuma tulisema kuna uongo mwingi kwenye ripoti ile. Wafuasi wa CDM wako active, hivyo ni lazima wajadili jambo lolote kwa namna wanavyoona wao. Hao wafuasi wa vyama vingine wao wako wapi kujadili, au wao ni maiti hai hivyo hawajigusi kwa lolote?
InawezekanaKuna watu wananifaika na mgawo WA hista za uwekezaji ambazo ni muwekezaji na wazawa. Wazawa ni kinani? He baada ya kuondoka adui Yao mkubwa wapo tayari kuendeleza madai? Kifupi Bora upiganie tumbo kuliko kupigania Tanzania imejaa unafiki na mawazo ya kimaskini. Mtu asijiamini na kujitambua ni ngumu sana kusadia. Juhudi zinafanyika kuhakikisha wananchi wanaaminishwa hapakuwa na msingi WA madai hayo.
Jibu hoja wew acha chuki, yaan unajaribu kuokoteza mamb ili mradi tu u justify kua lissu sio kitu!!Tundu Lisu huyu huyu wa Ufipa st?
Serikali ilimsomesha bure huyo TAL ujue!
ukiondoa maneno yanayoudhi, zinabaki facts ulizowasilisha. ahukumiwe kwa hizo facts. ukwell ni kwamba wamekiri alikuwa right. ss kama mlimhukumu na mlikosea kuna ubaya gani kusema "...we're sorry, you were very right and we were wrong". ni uungwana pia... au!Japo ni kweli lakini sio busara kufanya ukosoaji kwa kutumia maneno makali yenye lugha ya maudhi, wewe huna Ph.D, ripoti ya Ph.D holder, huwezi kuita "a professior rubish". Hata akina sisi tuliikosoa ripoti hiyo lakini tulitumia lugha ya kistaarabu! Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...
Serikali, mabenki na taasisi za fedha ziko huru kusamehe sehemu ya deni au deni lote, kitu muhimu ni wenye fedha zao kujulishwa. Licha ya umasikini wote uliotopea wa nchi yetu, hakuna ubaya wowote kusamehe deni lolote kwa yeyote, lakini lazima utoe sababu why unasamehe, ila pia unaposamehe majizi ndio muhimu zaidi kuwa transparent, ili isije kuonekana viongozi wetu wamekuwa compromised !.
Kwenye hili hebu msikilizeni kwa makini,
View attachment 2366449
Mtu anayeongea lugha hizi, ombwe radhi kwa lipi?. Ila pia Tundu Lissu aliishaondoa hilo neno "professiol rubish"
P
😅😅😅DaahRipoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Wahuni ni ccm iliyowakabidhi rasilimali za Watanzania kwa maslahi yaoACACIA ilikuwa kampuni ya kihuni aka middle man iliyotengezwa na BARRICK kulinda image yake incase of problems, kupitia ACACIA 10% zoote za wanasiasa wapumbavu na wajinga wote wabinafsi zilikuwa zikipita huko...
ACACIA haipo popote Africa kwenye business na Tanzania ni sehemu pekee Barrick alioperate kupitia Agency ( ACACIA) lengo ni kufanya cover siku kibao kikigeuka.
Watanzania tungekuwa na akili sana kama tungeandamana kushinikiza wanufaika woote wa ACACIA na uwepo wake watafutwe wafirisiwe na kukamatwa maana wameitafuna sana nchi yetu.
Pasca Mayalla alisema nikishika UchumbaPia unaweza kukokotoa namna hii.
300 000 000 ÷ 191 000 000 000 =
(3 ÷ 1910 ) × 100 = 0.157 %
Barrick wamelipa 0.16% ya deni lote.
Makisio ya haraka ni sawa na mtu akuibie sh 1000 halafu wewe ukubali akulipe senti 16.
Kiko wapi sasaHuyu msaliti akae hukohuko.
MfukoniHakuna mtu hata mmoja anayeweza kukwambia bilioni 700 ziliingia lini na wapi, nobody.
Ndio maana Mbunge Msukuma anawadharau wasomi kama akina Pascal Mayalla.Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Prof Muruma😅😅😅Mzee wa MIGA