Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Nikuulize swali kwani watu wakiwa wanakwenda kufanyiwa operation let's say Cesarean section huwa hawasaini.?

Ulishawahi kujiuliza dhumuni kuu la kusaini?
Kumbe nachart na empty kichwani,nimekuliza chanjo hipi kutoa hii ya coronavirus amboyo ulikwenda kuchanja mpaka unakula kiapo, Wewe unaonge eti operation, unaweza wananisha chanjo na operation kweli.
 
Kumbe nachart na empty kichwani,nimekuliza chanjo hipi kutoa hii ya coronavirus amboyo ulikwenda kuchanja mpaka unakula kiapo, Wewe unaonge eti operation, unaweza wananisha chanjo na operation kweli.
Mimi nilidhani unaelewa hata mambo ya msingi kumbe unatetea legacy uchwara haya nenda kajadiliane na walio kwenye ligi yako.
 
Mataga walikuwa wanashangilia na kukenua tu meno.
Crimea mmojawapo
 
Sijui walimfanya nini!
 
😅😅😅kumbe wizi hawajaanza leo
 
Pascal bwana ana mikosi sana. Huko ccm hawamtaki na huku nje pia anakataliwa😅😅
 
Mkuu, japo Kwa sehemu uko sahihi lakini mtu akija kukuambia ameuona mmea wa mahindi mrefu kilometa moja, nadhani huhitaji counter research kuthibitisha au kubatilisha huo uongo. Kwa wachimbaji, na wenye uzoefu na uchimbaji wa dhahabu hawakuhitaji counter research kuthibitisha kwamba the numbers were overly stretched.
 
Naona kinachoudhi ni neno Rubish au kuna kingine?
 
Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Bro lakini si unamjua Pascali Mayala....sijajúa anamaanisha nini,ila rubbish is rubbish,it doesn't matter una PhD au wewe ni Prof
 
Wala huelewi kitu wewe ndio maana unakimbilia kumsifu yule kichaa lisu.
Sababu ya barric kukubali deni la kodi japo kubwa sana na halilipiki ni ukweli walikua wametuibia kwa miaka mingi kupitia makinikia. Maelewano ya kuboresha mafao ya tz ndio ikawa matokeo ya maelewano mapya.
 
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
 
Tena tulionekana mataahira kweli duniani. Niliangalia vyombo vya habari vya nje jinsi walivyokuwa wanajadili hii issue mpaka unaona aibu. Wakasema hiyo kodi inazidi thamani ya migodi mitatu mikubwa hapa duniani. Waliitaja ila nimesahau majina.
 
Mimi bado naamini ripoti za Wataalam akina prof Muruma ilikuwa sahihi.

Kosa lilikuwa kwenye aapproach ya kuzidai
Unaamini kuwa kodi inazidi mpaka thamani ya dhahabu yote iliyowahi kuchimbwa hapa Tanzania!!! Au unafanya utani?
 
Kwanini nisimwamini, Wakati mambo yote yalifanyika hadharani,na mpaka Sasahivi tokea amefariki akuna aliyejitokeza kusema Magufuli alikuwa mwongo, ukweli ni huu.
Amesemwa kwenye hii issue from the beggining hata kwenye huu uzi, labda kwa sababu ya mapenzi yako kwake unajifanya kipofu huoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…