Japo ni kweli lakini sio busara kufanya ukosoaji kwa kutumia maneno makali yenye lugha ya maudhi, wewe huna Ph.D, ripoti ya Ph.D holder, huwezi kuita "a professional rubish". Hata akina sisi tuliikosoa ripoti hiyo lakini tulitumia lugha ya kistaarabu!
Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...
Serikali, mabenki na taasisi za fedha ziko huru kusamehe sehemu ya deni au deni lote, kitu muhimu ni wenye fedha zao kujulishwa. Licha ya umasikini wote uliotopea wa nchi yetu, hakuna ubaya wowote kusamehe deni lolote kwa yeyote, lakini lazima utoe sababu why unasamehe, ila pia unaposamehe majizi ndio muhimu zaidi kuwa transparent, ili isije kuonekana viongozi wetu wamekuwa compromised !.
Kwenye hili aombwe radhi kwa lipi?.
P