HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Bilioni 700 hawajalipwa,Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kukwambia bilioni 700 ziliingia lini na wapi, nobody.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilioni 700 hawajalipwa,Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kukwambia bilioni 700 ziliingia lini na wapi, nobody.
@johnthebaptist the JF osoro rubbish if not a profesorial rubbish
Kodi za baba yake na mama yakeYes tulisoma naye Ilboru ilikuwa ni bure hadi nauli iliyokuleta unawasilisha risiti kwa School Basa unarudishiwa fedha zako. Siku ya kufunga shule unapewa warrant una safiri bure.
Chuo Kikuu, pia kasomeshwa bure LL.B , UDSM
P
Kimenuka !!Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Usione aibu .Tundu Lisu huyu huyu wa Ufipa st?
Serikali ilimsomesha bure huyo TAL ujue!
Mungu ibariki ChademaMkuu waombe Moderators waweke hiyo VIDEO hapo juu...lilikuwa swala la Muda tuu...pengo la Chadema huko Bungeni hata chekechea Analitambuwa....
Kifupu Trab na Trat ni daily terms kwake zinatakiwa ziwe kwenye ziwe kwenye fingertips.Na hili andiko lako Ni News reporter's Rubbish.
Kuwa na PhD za "michongo" especially TZ na African countries, Ni nonsense. The so called Waziri wauchumi na fedha hajui Trab na Trat wakati yeye Ni mamlaka ya idara inayotumia hizo terms katika kukusanya hela ambazo yeye Ni "bosi" wa hizo hela. Halafu useme PhD takataka gani
Doctorial Rubbish
Ni kweli mzazi hawezi kumwuomba msamaha mtoto ila Mtoto huyu TL ni mtoto mwema na mwenye hekima sanaTundu Lisu huyu huyu wa Ufipa st?
Serikali ilimsomesha bure huyo TAL ujue!
Amen amen....ushindi mwingine.Mungu ibariki Chadema
Noah zimeyeyuka.Tuchukue calculator ili kujua tulivyopigwa.
Nini thamani ya usd 300 mil kishika uchumba dhidi ya deni la usd 191 billion.
191 000 000 000 ÷ 300 000 000 = 636.66
Ingewachukua Barrick miaka 637 kumaliza deni letu kama wangetulipa usd 300 mil kila mwaka.
😅😅😅Mataga watakuja kupongeza uhamuzi wa serikali kusamehe. Watasema ni uungwana
Hata Mwigulu hajui?Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kukwambia bilioni 700 ziliingia lini na wapi, nobody.
Leo John kapatikanaAcha uzumbukuku hakuna serikali inayomsimesha raia wake bure dunia hii...kodi zetu tunazolipa ndizo zinagharamia/zilogharamai hiyo elimu mnayoita ya bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua ya-ya-ya-yayayaaaaHata Mwigulu hajui?
Kwa lipi? Makubaliano yaliyofikiwa manufaa yake ni endelevu maana zingepatikana hizo pesa sasa hivi wangekuwa wanagawana watawala na kuuana weneywe kwa wenyewe ili kupata nafasi ya urasi ili azitafune ni bora kidogo ambacho ni endelevu kwa vizazi na vizazi......tamaa ya majizi ilikomeshewa hapoRipoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Nikuuzie wewe mkuu maana ulizonazo ni matope!Uza ubongo huo bro, toka 400t+, mpaka 700b, tena kwa awamu?
alifikia hatua ya kujenga uwanja wa ndege kwao chato ili atoroshe madini yetu kwenda Rwanda . bado yapo mazuzu yalimshangilia.... kuna container la tanzanite lilipelekwa zima kwa kagame, halikuwa na document yeyote lilikamatwa na akalazimisha lipite mwisho wa siku kagame akalipiga loteeKila kitu kilifanywa kwa usiri mkubwa, halafu Magufuli akawa anawahadaa wetu kwa kuwaita viongozi wa dini , sijui makundi mbalimbali kwenye hizo hafla za utapeli wake. Cha kushangaza watu walikuwaje wajinga kiasi kile cha kuamini maigizo yale.
Halafu bunge lilikuwa halishirikishwi kabisa kwenye mambo yale, kisa Magufuli alikuwa hataki yajadiliwe bungeni maana wabunge wa upinzani wataweka wazi mambo hayo. Mambo haya ndio yalipelekea Magufuli anajisi chaguzi za nchi hii na kujaza wanaccm aliowataka yeye ili kusitokee yoyote wa kuhoji. Jambo hili ndio lilipelekea Lisu kupigwa risasi.
Kwanini sasa mnakataa kula matunda ya elimu yake? Ona mlimpuuza lakini mkapita mulemule.Tundu Lisu huyu huyu wa Ufipa st?
Serikali ilimsomesha bure huyo TAL ujue!
Vipi kuhusu Noah?Mimi mpaka Leo sijawahi ona zile 10m kila kijiji licha ya kuzisubili kwa hamu hakika dhalimu alikuwa kiongozi wa wajinga