Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.

Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.

Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.

Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.

Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.

Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.

June 19, 2017
View attachment 2366316
Kimenuka !!
 
Na hili andiko lako Ni News reporter's Rubbish.

Kuwa na PhD za "michongo" especially TZ na African countries, Ni nonsense. The so called Waziri wauchumi na fedha hajui Trab na Trat wakati yeye Ni mamlaka ya idara inayotumia hizo terms katika kukusanya hela ambazo yeye Ni "bosi" wa hizo hela. Halafu useme PhD takataka gani
Doctorial Rubbish
Kifupu Trab na Trat ni daily terms kwake zinatakiwa ziwe kwenye ziwe kwenye fingertips.

Lakini sasa....ya ya ya yasami.....ya...!!
 
Tuchukue calculator ili kujua tulivyopigwa.

Nini thamani ya usd 300 mil kishika uchumba dhidi ya deni la usd 191 billion.

191 000 000 000 ÷ 300 000 000 = 636.66

Ingewachukua Barrick miaka 637 kumaliza deni letu kama wangetulipa usd 300 mil kila mwaka.
Noah zimeyeyuka.
 
Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.

Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.

Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.

Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.

Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.

Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.

June 19, 2017
View attachment 2366316
Kwa lipi? Makubaliano yaliyofikiwa manufaa yake ni endelevu maana zingepatikana hizo pesa sasa hivi wangekuwa wanagawana watawala na kuuana weneywe kwa wenyewe ili kupata nafasi ya urasi ili azitafune ni bora kidogo ambacho ni endelevu kwa vizazi na vizazi......tamaa ya majizi ilikomeshewa hapo
 
Kila kitu kilifanywa kwa usiri mkubwa, halafu Magufuli akawa anawahadaa wetu kwa kuwaita viongozi wa dini , sijui makundi mbalimbali kwenye hizo hafla za utapeli wake. Cha kushangaza watu walikuwaje wajinga kiasi kile cha kuamini maigizo yale.

Halafu bunge lilikuwa halishirikishwi kabisa kwenye mambo yale, kisa Magufuli alikuwa hataki yajadiliwe bungeni maana wabunge wa upinzani wataweka wazi mambo hayo. Mambo haya ndio yalipelekea Magufuli anajisi chaguzi za nchi hii na kujaza wanaccm aliowataka yeye ili kusitokee yoyote wa kuhoji. Jambo hili ndio lilipelekea Lisu kupigwa risasi.
alifikia hatua ya kujenga uwanja wa ndege kwao chato ili atoroshe madini yetu kwenda Rwanda . bado yapo mazuzu yalimshangilia.... kuna container la tanzanite lilipelekwa zima kwa kagame, halikuwa na document yeyote lilikamatwa na akalazimisha lipite mwisho wa siku kagame akalipiga lotee
 
Back
Top Bottom