Ni wakati sasa Serikali iache kutumia walimu kwenye zoezi la Uchaguzi Mkuu

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Ni wakati muafaka Sasa walimu waachwe wapumzike na mazoezi haya kama ilivyo kwenye sensa, post code na mazoezi mengine ya kitaifa serikali itumie Hawa vijana wasio na ajira ili kuinua vipato vyao.

Tuache kuwatumia walimu kwenye uchaguzi

Tutumie Hawa vijana wasio na ajira.

Mwisho.
 
Walimu walimu kazi wanayo, wanavyoandamwa duuuh

ila una wazo zuri
 
Serikali imekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…