Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Madada poa nao wanamchango kwenye kuimarisha usalama wa nchi.
Kabisa kweli aisee. Wengi wametoa siri za ndani kabisa za binafsi, za Jamii au hata Taifa kwa kupitia tendo hilo. Tendo hilo limewaangamiza wengi sana na hata nchi pia.
 
kino pale ukitokea mnyamla kabla ya kwa robi wani ni mapema tu tena pembeni wanauza ftari afu wao wako kwa mbele kwenye uwanja alooo. Kazi sanaa. Afrika sana kumepoa siku hizi. Ilikuaga sa12 tu jion hata jua halijapotea, wako kama wote. Vita ngumu hii, ukute hata mkuu nae na kelele zile kumbe ni mteja wao tu.
Wakuu wanapelekewa hotelini, kitu kimenyooka
 
Kujificha chini ya mchanga ni kujifanya kuwa hakuna wateja wanaohitaji kununua ngono huko unapoishi.

Hakuna supply bila demand. Wateja ni wengi mno ndo maana malaya wanaongezeka hapo ulipo.

Serikali labda ifanye iwe biashara rasmi na kutenga maeneo maalumu sababu wananchi mnayokaa hayo maeneo ni wapenzi wa kununua ngono.

Unaishi kwenye mji ambao wakazi wake ni wapenzi wa kununua ngono.
 
Sawa, hatukatai uwepo wao, ila wana changamoto katika kutoa huduma zao. Unalipia lakini hutaambulia utamu mpaka mwisho. Wana mambo ya ajabu sana, wanaongeza bei ukichelewa kupiga bao la mwanzo, unaweza kujikuta unasukumwa mbali utoke kifuani mwake kama utachelewa kupiga bao
 
Siku natoka mkesha navijitabu vyaneno mdada njiani hamna baa walanini ananambia naomba kimoja nikajua kitabu nkampa Wacha wenzie wanicheke ndokustuka!!... Mpaka Leo nkipita ilemitaa usiku wananita kimojaa
Tuwasaidie tuu wajiajiri maana nihatari skuizi kila penye pitapita yawatu nakagiza wanatia kambi
 
Sawa, hatukatai uwepo wao, ila wana changamoto katika kutoa huduma zao. Unalipia lakini hutaambulia utamu mpaka mwisho. Wana mambo ya ajabu sana, wanaongeza bei ukichelewa kupiga bao la mwanzo, unaweza kujikuta unasukumwa mbali utoke kifuani mwake kama utachelewa kupiga bao
Ni mateso sema nyege ndo zinatupeleka na hela yao ndogo bk 5 tu.ila ukiwa na Demu ni shuhuli.
 
Sawa, hatukatai uwepo wao, ila wana changamoto katika kutoa huduma zao. Unalipia lakini hutaambulia utamu mpaka mwisho. Wana mambo ya ajabu sana, wanaongeza bei ukichelewa kupiga bao la mwanzo, unaweza kujikuta unasukumwa mbali utoke kifuani mwake kama utachelewa kupiga bao
Mteja muamdamizi
 
90% wanaojiuza ni single-mothers.

Vijana wanazalisha na kutelekeza. Wanawake wamekuwa na kiburi wanataka haki sawa acha wajiuze.

10% familia masikini.
 
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
ikiondolewa kesi za ubakaji zitaongezeka
Vijana watabaka mpaka mbuzi
 
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
Hiki ni chakula cha wenyewe, huwezi kuzuia
 
Back
Top Bottom