Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Mkuu, Kwani wao sio watu? 😳 Kula tunda sio lazima kuwe na kumbi za starehe. Mwenye kumiliki kumbi za starehe yupo na biashara yake binafsi na mdada yupo na biashara yake binafsi (Tofauti) na hawaingiliani.
Unajua kwa mtaani yani sehemu za makazi ni jambo la aibu sana, unapita na watoto wako au wazazi ni jambo baya sana
 
Umesema Segerea chama
Kinyerezi mbuyuni halafu umesema muda Ni kuanzia saa tatu, hakuna sehemu ambayo wanatoa hudma saa Saba mchana?
 
Yes nimekuelewa Nina enda sana Chanika Nimejenga huko Nina namba za boda boda wa chanika ambazo nimezisave kwa jina: Bodaboda chanika . That's why I was saying am in my phone searching 4 bodaboda chanika.

Ila ni mabibi namba A choka mbayaa
 
Back
Top Bottom