sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
- Thread starter
- #81
Unajua kwa mtaani yani sehemu za makazi ni jambo la aibu sana, unapita na watoto wako au wazazi ni jambo baya sanaMkuu, Kwani wao sio watu? 😳 Kula tunda sio lazima kuwe na kumbi za starehe. Mwenye kumiliki kumbi za starehe yupo na biashara yake binafsi na mdada yupo na biashara yake binafsi (Tofauti) na hawaingiliani.