Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Hiyo biashara haizuiliki.. unaambiwa Nuhu anajenga Safina watu wapo zao gesti wanapeana utamu kuja kushtuka tayari gharika imeanza ndo malaya nao kuanza kumwambia Nuhu tufungulie mlango.
Hahah Kaka Chawa hapa mbona kama unatupiga kamba.
 
mkiacha kuhongwa watapungua hao wanafamilia,mume na watoto wanamtegemea na bado wataongezeka kama hali itakuwa ngumu hv
 
Kwani wanauza nyara za serikali?
 
Ulijuaje wanaajiuza?
Watu wapo nje Wana discuss Mambo Yao wewe unawaza ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…