Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Mambo ya mafumbo ni ya kizamani.
KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k
Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena.
Tangazo liwe wazi kama hivi;
Nafasi: Mhandisi daraja la pili
Ofisi: TPA
Mshahara : Sh. 1,500,000(mfano).
Mnaficha nini?
Wekeni wazi ili mtu achague kuomba au kuacha.
Wananchi pia wana haki ya kujua mameneja wa ukusanyaji kodi, madaktari , wanajeshi, na watumishi wengine wanalipwa sh. Ngapi.
Iwe wazi, nikifungua tovuti ya NGORONGORO CA nijue mshahara wa kila kada na kila cheo.
Kuna hujuma ipi mnaificha?