Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

Ukitaka mambo ya siri kafugue ofisi binafsi,ofisi ya Umma ni lazima umma ujue.Kwa mfano Kenya Rais Uhuru Kenyatta amestaafu kila malipo yake na stahiki zake zipo public sasa nikuulize wewe Rais wa Tanzania analipwa mshahara shilingi ngapi na akistaafu stahiki zake ni zipi!
Subiri katiba mpya mkuu!
 
mshahara ni siri ya mfanyakazi, ujue mshahara wake ili iweje. Kafanye shughuli zako acha kuhangaika na visivyokuhusu. Ulisikia lini mfanyabiashara akatangaza mapato yake? Huyo mfanyakazi mlifanya kazi wote mpaka ujue mshahara wake? uwe serious kijana.
Kwan siri ya nini kwenye masuala ya kiserikali. Mtumishi wa uma ni mali ya uma. Raia anatakiwa kujua mshahara wa kila mtendaji au mfanyakazi aliyepo serikalini.

Kampuni binafsi ndio wanaweza kurisk kama watasema mishahara ya wafanyakazi waweke wazi maana competitors wanaweza kukuibia wafanyakazi wako the best kwa kuwapa top au extra pay kwenye mshahara na kuwaiba toka kwako.
 
Ukitaka mambo ya siri kafugue ofisi binafsi,ofisi ya Umma ni lazima umma ujue.Kwa mfano Kenya Rais Uhuru Kenyatta amestaafu kila malipo yake na stahiki zake zipo public sasa nikuulize wewe Rais wa Tanzania analipwa mshahara shilingi ngapi na akistaafu stahiki zake ni zipi!
Hakuna anachoweza kusema zaidi ya kukisia kisia tu. Sababu kuna wizi mwingi sana unafanyika.
 
Nchi hii ni zig zag.

Imejaa UNAFIKI, UCHAWA, DHULMA.

Unakuta kazi zile zile, Elimu ile ile ila mishahara tofauti Kwasababu mmoja Yuko Halmashauri na mwingine yuko TMDA.
 
Mishahara Haina kificho lakin tatizo hamuelewel kuhusiana na tgts ila mbona ikowazi tu sikuzote
 
Kwa mentality ya vijana wa sasa kuna taasisi mishahara ikiwekwa hadharani hazitopata waombaji kazi kabisa
 
Hebu nitajie mshahara anaolipwa Mwalimu hapo London ili tujue uhalisia wa hiki unachokisema, au hata Mwanajeshi wa Russia ili utufumbue macho
Hii wanaita nyundo kilo 20 ya kichwa!
====
Akinyanyuka nistue, maana macho lazima yamuume kwa kigoogle Leo.
 
Back
Top Bottom