Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mshahara ni siri ya mfanyakazi, ujue mshahara wake ili iweje. Kafanye shughuli zako acha kuhangaika na visivyokuhusu. Ulisikia lini mfanyabiashara akatangaza mapato yake? Huyo mfanyakazi mlifanya kazi wote mpaka ujue mshahara wake? uwe serious kijana.Hello!
Mambo ya mafumbo ni ya kizamani.
KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k
Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena.
Tangazo liwe wazi kama hivi;
Nafasi: Mhandisi daraja la pili
Ofisi: TPA
Mshahara : Sh. 1,500,000(mfano).
Mnaficha nini?
Wekeni wazi ili mtu achague kuomba au kuacha.
Wananchi pia wana haki ya kujua mameneja wa ukusanyaji kodi, madaktari , wanajeshi, na watumishi wengine wanalipwa sh. Ngapi.
Iwe wazi, nikifungua tovuti ya NGORONGORO CA nijue mshahara wa kila kada na kila cheo.
Kuna hujuma ipi mnaificha?
Tunata kujua , mambo ya siri ya nini?mshahara ni siri ya mfanyakazi, ujue mshahara wake ili iweje. Kafanye shughuli zako acha kuhangaika na visivyokuhusu. Ulisikia lini mfanyabiashara akatangaza mapato yake? Huyo mfanyakazi mlifanya kazi wote mpaka ujue mshahara wake? uwe serious kijana.
Ili iwajeHello!
Mambo ya mafumbo ni ya kizamani.
KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k
Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena.
Tangazo liwe wazi kama hivi;
Nafasi: Mhandisi daraja la pili
Ofisi: TPA
Mshahara : Sh. 1,500,000(mfano).
Mnaficha nini?
Wekeni wazi ili mtu achague kuomba au kuacha.
Wananchi pia wana haki ya kujua mameneja wa ukusanyaji kodi, madaktari , wanajeshi, na watumishi wengine wanalipwa sh. Ngapi.
Iwe wazi, nikifungua tovuti ya NGORONGORO CA nijue mshahara wa kila kada na kila cheo.
Kuna hujuma ipi mnaificha?
Hebu nitajie mshahara anaolipwa Mwalimu hapo London ili tujue uhalisia wa hiki unachokisema, au hata Mwanajeshi wa Russia ili utufumbue machoTunata kujua , mambo ya siri ya nini?
Mbona dunia ya kwanza huweka mshahara wazi?
Ukitaka mambo ya siri kafugue ofisi binafsi,ofisi ya Umma ni lazima umma ujue.Kwa mfano Kenya Rais Uhuru Kenyatta amestaafu kila malipo yake na stahiki zake zipo public sasa nikuulize wewe Rais wa Tanzania analipwa mshahara shilingi ngapi na akistaafu stahiki zake ni zipi!mshahara ni siri ya mfanyakazi, ujue mshahara wake ili iweje. Kafanye shughuli zako acha kuhangaika na visivyokuhusu. Ulisikia lini mfanyabiashara akatangaza mapato yake? Huyo mfanyakazi mlifanya kazi wote mpaka ujue mshahara wake? uwe serious kijana.
Nioneshe ya Marais wastaafu wa Tanzania.mshahara ni siri ya mfanyakazi, ujue mshahara wake ili iweje. Kafanye shughuli zako acha kuhangaika na visivyokuhusu. Ulisikia lini mfanyabiashara akatangaza mapato yake? Huyo mfanyakazi mlifanya kazi wote mpaka ujue mshahara wake? uwe serious kijana.
Hahahaha akijib ulete mrejeshoHebu nitajie mshahara anaolipwa Mwalimu hapo London ili tujue uhalisia wa hiki unachokisema, au hata Mwanajeshi wa Russia ili utufumbue macho
Hapo kwa London mishahara ipo tafuta utaona, Russia hutoona wazi kama sisi ila Marekani unawekewa jedwali hadi la General analipwa kiasi gani na marupurupu na nyongeza.Hebu nitajie mshahara anaolipwa Mwalimu hapo London ili tujue uhalisia wa hiki unachokisema, au hata Mwanajeshi wa Russia ili utufumbue macho
Asante mkuu.Hello!
Mambo ya mafumbo ni ya kizamani.
KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k
Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena.
Tangazo liwe wazi kama hivi;
Nafasi: Mhandisi daraja la pili
Ofisi: TPA
Mshahara : Sh. 1,500,000(mfano).
Mnaficha nini?
Wekeni wazi ili mtu achague kuomba au kuacha.
Wananchi pia wana haki ya kujua mameneja wa ukusanyaji kodi, madaktari , wanajeshi, na watumishi wengine wanalipwa sh. Ngapi.
Iwe wazi, nikifungua tovuti ya NGORONGORO CA nijue mshahara wa kila kada na kila cheo.
Kuna hujuma ipi mnaificha?
Nakubaliana nawe kwa hili. Hongera!Hello!

Mbona miaka ilipita bila kutimiza?Mwendazake aliwahi kuahidi kuweka salary slip yake hadharani...naona mshahara wa serikali ni siri kali mno
Mwalimu wa level ipi na mwenye sifa zipi?Hebu nitajie mshahara anaolipwa Mwalimu hapo London ili tujue uhalisia wa hiki unachokisema, au hata Mwanajeshi wa Russia ili utufumbue macho