Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

Subiri katiba mpya mkuu!
 
Kwan siri ya nini kwenye masuala ya kiserikali. Mtumishi wa uma ni mali ya uma. Raia anatakiwa kujua mshahara wa kila mtendaji au mfanyakazi aliyepo serikalini.

Kampuni binafsi ndio wanaweza kurisk kama watasema mishahara ya wafanyakazi waweke wazi maana competitors wanaweza kukuibia wafanyakazi wako the best kwa kuwapa top au extra pay kwenye mshahara na kuwaiba toka kwako.
 
Hakuna anachoweza kusema zaidi ya kukisia kisia tu. Sababu kuna wizi mwingi sana unafanyika.
 
Nchi hii ni zig zag.

Imejaa UNAFIKI, UCHAWA, DHULMA.


Unakuta kazi zile zile, Elimu ile ile ila mishahara tofauti Kwasababu mmoja Yuko Halmashauri na mwingine yuko TMDA.
 
Mishahara Haina kificho lakin tatizo hamuelewel kuhusiana na tgts ila mbona ikowazi tu sikuzote
 
Kwa mentality ya vijana wa sasa kuna taasisi mishahara ikiwekwa hadharani hazitopata waombaji kazi kabisa
 
Hebu nitajie mshahara anaolipwa Mwalimu hapo London ili tujue uhalisia wa hiki unachokisema, au hata Mwanajeshi wa Russia ili utufumbue macho
Hii wanaita nyundo kilo 20 ya kichwa!
====
Akinyanyuka nistue, maana macho lazima yamuume kwa kigoogle Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…