Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.
Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.
Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.