rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hamas kafanya mauaji balozi wa Palestina akawa anapita misikitini mmeshindwa kumwuliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Leo ndio unauliza hivyo wakati ulisema vijana wetu walitumika na jeshi la Israel!!!Wanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.
Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.
Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.
Joshua Mollel Yupo wapi? Kuna wanafiki humu JF povu liliwatoka walivyoambiwa kwa Joshua Mollel kachukuliwa na Hamas kumbe Waisrael walikuwa waongo leo hii tulivyokuwa wanafiki baada ya kujua ilikuwa uongo hamna anayeuliza tena daaah😂
Puuzi sana hilo vaa kobaz,anafikiri zile video tumezisahau,yaani baadhi ya waumini wa hiyo dini walivyokuwa brainwashed akili zao zinahamia makalioniAisee wewe jamaa, udini utakuua. Yaani joshua Mollel alipigwa risasi ni Hamas huku wanatamka maneno yenu ya allahu wakbar halafu huoni huo unyama wa kuuliwa mtanzania mwenzako kisa unalinda ndugu zako waarabu wa hamas.
Hakika Mungu akusamehe
Tunataka miili ya ndugu zetu hao wayahudi na wapalestina hawatuhusu na sio ndugu zangu.Ila wee jamaa unawachukia wayahudi kuliko hata mtume wako aisee,duh!
Na miili ya wapinzani pia Iko wapiWanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.
Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.
Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.
Naomba kuuliza, hivi kwa vile vita vikali vya Gaza, miili yote ya mateka ni lazima ipatikane? Hakuna iliyobaki kwenye vifusi baada ya Israel labda kuwashambulia Hamasi kwa makombora walimokuwa wanawashikilia mateka mfano kwenye mahandaki?Wanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.
Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.
Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.
Umesema ww sio HAMAS Hamas kama wamesema idadi yote lkn awa wetu awamo nitaendelea kuamin watanzania walikufa kwaabahati mbaya kutoka kwa walowezi wa kizayuni ambao wkt wanakimbia ile Kambi iliovamiwa kuelekea ndani zaid ya Israel wakakutana na wahuni wa kizayuni kila mmoja alipita njia yake uyu moja ndio akanasa kwa Zayuni wakidhani awa ndio wavamizi wao vile awakuwa na ufaam wa maeneo ayo pengine Maiti yake itapatikana baada ya miez 6 ivi ikiwa aman itakuwepo wachunguzi wataitaji muda naamin sio watz tu ndio awaonekani watakuwepo na wengine lkn hii inataji muda kuchunguza vile Babake kaenda kule waisrael wanaweza kuwa wamemchukua sampuli ya yake ayu kwasasa atapatikana ndani ya Israel lkn wao watasema alizikwa GAZA !!!Hamas ndo waliomuua
Miili ya Ben Saanane, Azori.......iko wapi ?.Wanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.
Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.
Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.
Andika uzi mwengine mzee huu futa.Hamas kafanya mauaji balozi wa Palestina akawa anapita misikitini mmeshindwa kumwuliza.
Nimegusa Imani yako Wala sifuti itAndika uzi mwengine mzee huu futa.
Balozi zetu huko nje ni burereeeWanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.
Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.
Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.
Wewe zwazwa la kidini ww na Babake Joshua nani anamjua zaid Joshua tukiwaita mazwazwa mnaona tunawatukana kumbe ndio ukweli wenyewe nyie ni zigo la kinyesi kwa taifa sasa Babake JOSHUA ile clip kaiyona kakataaa kuwa yule sio mtoto wake wala awafanani na mtoto wake manake ile clip ni kijana mwengine pengine kutoka Africa au America lkn yule sio Joshua zwazwa ww!!!!!!Wewe ni taahira. Hivi hukuona video ya Joshua kipindi anauliwa na wahuni wa Hamas? Hivi Watanzania mbona akili zetu ni matope kiasi hiki? Hivi huo uislamu unawasiadia nini kama umewafanya mazezeta kiasi hiki?
Alikataa lini ebu onyesha clipp mzee akikataa sio mtoto wake mbona unaruka-rukaWewe zwazwa la kidini ww na Babake Joshua nani anamjua zaid Joshua tukiwaita mazwazwa mnaona tunawatukana kumbe ndio ukweli wenyewe nyie ni zigo la kinyesi kwa taifa sasa Babake JOSHUA ile clip kaiyona kakataaa kuwa yule sio mtoto wake wala awafanani na mtoto wake manake ile clip ni kijana mwengine pengine kutoka Africa au America lkn yule sio Joshua zwazwa ww!!!!!!
Wewe ni boya na fala uliyepitiliza. Ni lini uliongea na baba yake akasema huyo siyo Joshua.Wewe zwazwa la kidini ww na Babake Joshua nani anamjua zaid Joshua tukiwaita mazwazwa mnaona tunawatukana kumbe ndio ukweli wenyewe nyie ni zigo la kinyesi kwa taifa sasa Babake JOSHUA ile clip kaiyona kakataaa kuwa yule sio mtoto wake wala awafanani na mtoto wake manake ile clip ni kijana mwengine pengine kutoka Africa au America lkn yule sio Joshua zwazwa ww!!!!!!