Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kuibana Serikali ya Israel kutuambia miili ya Watanzania ipo wapi?

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.

Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu, hamna mahali tumeambiwa na Israel kuwa kuna miili ya ndugu zetu Watanzania.

Ni wakati sasa wa Serikali ya Tanzania kuibana serikali ya Israel watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi maana jana Netanyahu, alisema wanayo majina yote na mateka na miili.

Jina la Joshua Molle, alipo kwenye orodha.
 
Hawana uwo uthubutu
Joshua Mollel Yupo wapi? Kuna wanafiki humu JF povu liliwatoka walivyoambiwa kwa Joshua Mollel kachukuliwa na Hamas kumbe Waisrael walikuwa waongo leo hii tulivyokuwa wanafiki baada ya kujua ilikuwa uongo hamna anayeuliza tena daaah😂
 
Walikufaje kufaje?
 
Ila wee jamaa unawachukia wayahudi kuliko hata mtume wako aisee,duh!
 
Waulize hamas waliowauwa
 
Tuache kuwabana waliofanya mauaji tukabanane na waliookota miili? Hizi ni akili za wapi?
 
Mwenyezi Mungu anisamehe, ila wewe si punguani tu bali umelaaniwa. Tafuta tiba la sivyo, ngoja niishir hapo
 
Ningeshangaa mwanamgambo wa Buza awe na akili timamu.

 
Aisee wewe jamaa, udini utakuua. Yaani joshua Mollel alipigwa risasi ni Hamas huku wanatamka maneno yenu ya allahu wakbar halafu huoni huo unyama wa kuuliwa mtanzania mwenzako kisa unalinda ndugu zako waarabu wa hamas.
Hakika Mungu akusamehe
 
Gaidi ni gaidi tu haijalishi hata awe mmatumbi wa Kilwa Kivinje atabaki kuwa gaidi ili mradi tu afuate utamaduni wa kiarabu. Bure kabisa.
 
Uko sahihi! Njia rahisi zaidi ni kuinyima misaada; fanyeni hivyo! Ikishindikana pelekeni fighter jets mkafanye yenu.
 
Gaidi ni gaidi tu haijalishi hata awe mmatumbi wa Kilwa Kivinje atabaki kuwa gaidi ili mradi tu afuate utamaduni wa kiarabu. Bure kabisa.
Utakuta miarabu koko bibi zao walibakwa ikaja duniani nayo inatetea ujinga humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…