Yoda mbona umenga'ang'ana na kazi za bunge kazi za bunge kwa ni bunge ni jeshi kwamba linaenda kupigana vita hivyo wanahitajika wengi?
Kazi za bunge nani asiye zijua? Yaani zinafahamika hadi ngazi ya primary school hivyo hiyo sio hoja
Na kwa kazi zile zabunge zinazo fahamika na zilizo ainishwa kwenye tovuti ya bunge wala hakuna uhitaji wa wabunge 384 wawepo bungen maana hakuna kazi ya kubeba zege kule kwamba inahitajika nguvu kazi.
Wabunge wachache tu wenye akili timamu na uelewa wa mambo kisawasawa na taaluma wanatosha kabisa kufanikisha kazi zote za bunge na hata za ziada
Sio kujaza wabunge waimba mipasho na kusutana bungeni wakati wananchi hawana maji huku
Pesa nyingi sana inahudumia wabunge ambao kiukweli kabisa hawana return yeyote ile posistive kwa taifa, ni HASARA! HASARA! HASARA! kwa Taifa kuwa na wabunge 384 ambao 75% ya wao hawana msaada kuipeleka nchi mbele kimaendeleo.