Ni wakati sasa Tanzania iwe na wabunge 185 tu. Wabunge 199 wapunguzwe wote wanalitia hasa Taifa hawana masaada kabisa

Tatizo sio Idadi,ni mfumo.
Mnufaika yeyote wa wizi na ufujaji huu wa pesa za umma kupitia wabunge hatokuwa tayari kamwe kuungana na andiko hili maana kwa psychology ya kkawaida kabisa wewe pia ni miongoni wa hao 199 wanao pendekezwa kupigwa panga ndio maana umekuwa na hoja nyepesi kupinga pendekezo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wanaweza kufanya kazi bila kushirikiana na pia Kufanya kazi kwa kushirikiana haimaanishi mmoja lazima awe chini ya mwingine.
Kama wanasiasa wanaweza kufanya kazi kwa kushirikana na mambo yakaenda vizuri tu kwa nini madiwani au wabunge wa chama kimoja wanahama vyama kabla ya muda wao kuisha!?
Tatizo sio idadi,ni mfumo!

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa bwana hebu tusihamishe malengo ya uzi huu kwa hoja zako nyepesi hizo

tambua kwamba ngazi ya uwakilishi wa kisiasa nafasi ya chini ya MBUNGE ni DIWANI usikwepeshe ukweli kwa vile na wewe ni kati ya wale 199 msio na faida na wa kufyekelewa mbali kwa kulitia hasara kubwa taifa la tanzania na watanzania kwa ujumla.
 
Ndiyo ! Hayo ni maoni yangu ya dhati kabisa ili kupunguza matumizi ya fedha za umma

Tanzania ina halmashauri 185 tu ambazo zingetosha kabisa kuwakilishwa na mbunge mmoja mmoja kila halmashauri wakisaidiwa na madiwani

Kuwa na wabunge 384 kwa nchi kama tanzania ambayo ina changamoto nyingi za kimaendeleo kwa wananchi ni matumizi mabaya kabisa ya pesa za umma

Hawa wanao itwa wabunge wa viti maalumu wooote ni wakuondolewa wamekuwa mzigo kwa taifa na hawana faida chanya kwa watanzania

Wabunge wote wawe wakuchanguliwa na wananchi na taratibu za kuwapata hawa wabunge pia ziangaliwe upya nchi ina matatizo mengi sana inahitaji wabunge wachapa kazi na wenye nia ya dhati kutatua kero za watanzania na sio kupata wabunge wenye ubingwa wa kujibizana bungeni kwa maneno machafu na kejeli.

Tukiokoa pesa ambayo ingetumika kwa wabunge 199 kuwalipa posho na gharama zinginezo ilihali hawana tija yeyote kwa taifa itasaidia sana kuboresha changamoto nyingi sana

Piga hesabu posho na marupupu yoote wanayo lipwa wabunge hao kwa kipindi chote cha ubunge wao pesa hiyo ingejenga madarasa mangap na vituo vya afya vingapi

Yawezekana kuna wakati Mh. Rais anapata wakati mgumu ku alocate fedha za kutatua changamoto za watanzania kwa sababu pesa nyingi zinahudumia wanasiasa ambao kimsingi hawana tija wala michango chanyana ya kimaendeleo kwa wananchi wanao wazunguka.
Na naapa mbele ya Mungu muumba wa mbingu na ardhi wabunge wenye tija kwa taifa ni upinzani Hawa wa CCM Wana tija kwa CCM na ikulu tu. Ee Mungu kama nafsi yangu haisemi sawa juu ya hili nife hata Leo usiku kesho nisiione . Sisi watanzania tunahoji wabunge wa ndiooooooooooooo hata mbunge mwenzao anapopigwa risasi hawawezi kumtetea je wanaweza kututetea sisi wauza mpunga hapa kibaigwa? Au machungwa segera ? Au makatapela tukuyu?
 
Kama hawa wa ccm walitakiwa wabaki 30% tu. Wanakula hela za walipa kodi bure sana
 
Wabunge wa hovyo hawawezi kupungua kwa kupunguza idadi na kama wa hovyo wanaweza kupungua kwa kupunguza idadi hivyo ndivyo wazuri pia watapungua idadi ikipungua.
Tinalijua hilo la mfumo ila haliwezi kutuginga tusililalamikie mfumo wa hovyo unaleta wabunge wa hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na naapa mbele ya Mungu muumba wa mbingu na ardhi wabunge wenye tija kwa taifa ni upinzani Hawa wa CCM Wana tija kwa CCM na ikulu tu. Ee Mungu kama nafsi yangu haisemi sawa juu ya hili nife hata Leo usiku kesho nisiione . Sisi watanzania tunahoji wabunge wa ndiooooooooooooo hata mbunge mwenzao anapopigwa risasi hawawezi kumtetea je wanaweza kututetea sisi wauza mpunga hapa kibaigwa? Au machungwa segera ? Au makatapela tukuyu?
Hata hao wa CHADEMA nao hawana ni wasaka tonge nao ni wakuchujwa tu kwa sababu inapo ingia bungeni hoja inayo gusa maslahi yao hata kama ina manufaa kwa wananchi nawao huwa ni wapingaji wakuu na wanaungana vilivyo na wabunge wa chama cha mapinzi utadhani huwa hawatukanani
 
Wabunge wa hovyo hawawezi kupungua kwa kupunguza idadi na kama wa hovyo wanaweza kupungua kwa kupunguza idadi hivyo ndivyo wazuri pia watapungua idadi ikipungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja kuu ni kupunguza wingi wa wabunge kutoka 384 hadi 185 tu. mmekuwa wengi halafu hamna faida yeyoye ile kwa watanzania mpungue ili pesa ya hao 199 iende kuboresha na kujenga vyumba vya madasa na kununua madawa kwenye zahanati maana wagonjwa wanakosa tiba sahihi kwasabau pesa nyingi zinahudumia wanasiasa wasio na faida yeyote.
 
Wabunge hawapaswi kuchujwa,wabunge wanatakiwa wachaguliwe na wananchi katika mchakato ulio huru.Nina mashaka kwamba huelewei kabisa dhana nzima ya ubunge!
Hata hao wa CHADEMA nao hawana ni wasaka tonge nao ni wakuchujwa tu kwa sababu inapo ingia bungeni hoja inayo gusa maslahi yao hata kama ina manufaa kwa wananchi nawao huwa ni wapingaji wakuu na wanaungana vilivyo na wabunge wa chama cha mapinzi utadhani huwa hawatukanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani hiyo pesa ya wabunge watakaopunguzwa itaenda kwenye afya na elimu na sio kununulia ndege au kuongeza magari ya kifahari?
Tatizo sio idadi,ni mfumo.
Hoja kuu ni kupunguza wingi wa wabunge kutoka 384 hadi 185 tu. mmekuwa wengi halafu hamna faida yeyoye ile kwa watanzania mpungue ili pesa ya hao 199 iende kuboresha na kujenga vyumba vya madasa na kununua madawa kwenye zahanati maana wagonjwa wanakosa tiba sahihi kwasabau pesa nyingi zinahudumia wanasiasa wasio na faida yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela zenyewe unazozihurumia hazimsaidii chochote mwananchi wakaida, wananchi mitaani tumepigika utafikri fedha hazipo, watu wanaona fahari kubwa kubadilisha nyumbani kwao wakati wananchi wengi wanalia njaa.

Ni heri wabunge waendelee kupewa,kwa kuwa wao wanakutana na wananchi kunywa nao juis hata mara mojamoja, na ni rahisi kusaidiwa na mbunge kwa kupewa hata senti kidogo ya kukusaidia kwenye shida yako kuliko pesa inayopangiwa bajeti na mtu mmoja wa magogoni.
 
Wazo lako ni zuri lkn hoja yako ni dhaifu
Fikiri tena kwa kufanya uchambuzi
 
Wabunge hawapaswi kuchujwa,wabunge wanatakiwa wachaguliwe na wananchi katika mchakato ulio huru.Nina mashaka kwamba huelewei kabisa dhana nzima ya ubunge!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes yawezekana kweli sielewi dhana nzima ya ubunge lakini hii ni kwa maoni yako na ninayaheshimu tu mbunge unae tetea ubunge wako, lakini tambueni kwamba hamna faida yeyoye kwa wananchi mnaumiza wananchi kwa vingi sana nyie wabunge la jamuhuri ya Tanzania kuanzia malipo yenu hadi upitishaji wenu wa sheria za hovyo hovyo

mpungue tu kwakweli maana wajinga mmekuwa wengi ndani ya bunge kiasi kwamba mnabana nafasi hata kwa wabunge wenye utashi wa kujenga hoja zenye kuleta mawazo chanya na ya muhimu kwa ustawi wa taifa
 
Wazo lako ni zuri lkn hoja yako ni dhaifu
Fikiri tena kwa kufanya uchambuzi
Unadhani naweza kuwaza jambo ambalo halitakuwa na udhaifu wowote kwa watu wote? Laa! Sina uwezo huo nadhan yafaa kwa wewe ulie uona udhaifu uongezee neno ili huo udhaifu ulio uona wewe uondoke
 
Ndiyo ! Hayo ni maoni yangu ya dhati kabisa ili kupunguza matumizi ya fedha za umma

Tanzania ina halmashauri 185 tu ambazo zingetosha kabisa kuwakilishwa na mbunge mmoja mmoja kila halmashauri wakisaidiwa na madiwani

Kuwa na wabunge 384 kwa nchi kama tanzania ambayo ina changamoto nyingi za kimaendeleo kwa wananchi ni matumizi mabaya kabisa ya pesa za umma

Hawa wanao itwa wabunge wa viti maalumu wooote ni wakuondolewa wamekuwa mzigo kwa taifa na hawana faida chanya kwa watanzania

Wabunge wote wawe wakuchanguliwa na wananchi na taratibu za kuwapata hawa wabunge pia ziangaliwe upya nchi ina matatizo mengi sana inahitaji wabunge wachapa kazi na wenye nia ya dhati kutatua kero za watanzania na sio kupata wabunge wenye ubingwa wa kujibizana bungeni kwa maneno machafu na kejeli.

Tukiokoa pesa ambayo ingetumika kwa wabunge 199 kuwalipa posho na gharama zinginezo ilihali hawana tija yeyote kwa taifa itasaidia sana kuboresha changamoto nyingi sana

Piga hesabu posho na marupupu yoote wanayo lipwa wabunge hao kwa kipindi chote cha ubunge wao pesa hiyo ingejenga madarasa mangap na vituo vya afya vingapi

Yawezekana kuna wakati Mh. Rais anapata wakati mgumu ku alocate fedha za kutatua changamoto za watanzania kwa sababu pesa nyingi zinahudumia wanasiasa ambao kimsingi hawana tija wala michango chanyana ya kimaendeleo kwa wananchi wanao wazunguka.
Ombi kama hilo limeshaletwa hapa mara nyingi sana. Idadi ya wabuge haisaidii kabisa! Mambo ya kusema kila kundi lipate uwakilishi ni uzembe tu maana uwakilishi ni akili ya mtu. Kuna akina mama kibao ndani ya bunge ambao hawajawahi kumuwakilisha mwanamama yeyote. kuna wakati alikuwemo mtu mwenye ulemavu wa macho. Alichokifanya ni kuwakilisha CCM badala ya walemavu, na akageuka kuwa kero!
 
Yes yawezekana kweli sielewi dhana nzima ya ubunge lakini hii ni kwa maoni yako na ninayaheshimu tu mbunge unae tetea ubunge wako, lakini tambueni kwamba hamna faida yeyoye kwa wananchi mnaumiza wananchi kwa vingi sana nyie wabunge la jamuhuri ya Tanzania kuanzia malipo yenu hadi upitishaji wenu wa sheria za hovyo hovyo

mpungue tu kwakweli maana wajinga mmekuwa wengi ndani ya bunge kiasi kwamba mnabana nafasi hata kwa wabunge wenye utashi wa kujenga hoja zenye kuleta mawazo chanya na ya muhimu kwa ustawi wa taifa
Nakuunga mkono. Wabunge lazima wachujwe. Sawa na madereva barabarani, usipochuja unaleta hata walevi barabarani na kuwa ni hatari kwa wengine. Ukiangalia Bungeni, kuna wenye uwezo wanajikuta wanazomewa na rundo la watu dhaifu kabisa! Haiwezekani tuwe na wawakilishi wajinga eti kila kundi lipate mwakilishi. NO!!
 
Ombi kama hilo limeshaletwa hapa mara nyingi sana. Idadi ya wabuge haisaidii kabisa! Mambo ya kusema kila kundi lipate uwakilishi ni uzembe tu maana uwakilishi ni akili ya mtu. Kuna akina mama kibao ndani ya bunge ambao hawajawahi kumuwakilisha mwanamama yeyote. kuna wakati alikuwemo mtu mwenye ulemavu wa macho. Alichokifanya ni kuwakilisha CCM badala ya walemavu, na akageuka kuwa kero!
Huo ndio ujinga wabunge wabaki kuwa wabunge wa kupigiwa kura pekee huo ujinga wa uwakilishi sujui ndio kitu gani kwa sababu mbunge ni muwakilishi wa watu wote hadi wenye ulemavu wakiwemo na hakuna chochote kinacho badilika huyo muwakilishi akiwepo au asipo kuwepo ni ulaji tu unatengenezwa kijanja na kuongeza matumizi yasiyo lazima kwa serikali.
 
Back
Top Bottom