Yeah kuijaza dunia ni moja ya malengo ya mwanadamu kuumbwaNa ulaya na mfumo wao wa ushoga natamani ishikiliwa na waarabu yote wazaliane na kuijaza ulaya yote😅😅
Raisi wa bank za ulaya Christine lagarde alishazungumzia hili kwa kina sanaHawawezi, mataifa makubwa ya ulaya na USA yamepaishwa na wahamiaji, mpaka leo wanafaidika na wageni na hasa nchi za kiafrika.
Soma history babu, soma history
Hii dunia ina michezo mingi inapokuja harakati za kujilimbikizia mali. Pole kwa kutojua michezo unaochezwa FranceLakini hii nchi ina katiba nzuri sana...
Inakuwaje nchi yenye katiba nzuri na demokrasia safi inakumbana na hizo changamoto zote za kijamii?
Tulitegemea tecdema ndyo iwe na malalamiko kama hayo hapa tanzania, kumbe hata kule ambapo tecdema inatumia kama nchi ya mfano wa kuigwa nako kuna matatizo kibao?