Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana ya kuwa Tanganyika inaitawala Znz ?Nyerere alikuwa na dosari zake, lakini Nia yake ilikuwa nzuri, NI Raisi pekeye TZ aliyeondoka madarakani akiwa Hakujitengenezea au kujibambikiza Mali. Lakini sijui kwanini tunailaumu Zanzibar, Sultan Tumempindua Sisi, Karume na maraisi wao Wote tumewaweka vitini Sisi, Znz tumeishikilia na kuingangania Sisi, na tunaolalamika NI Sisi.
Fursa tuonazo kama Znz wanafaidika nazo, Sisi ndio tulizozileta na ili tuu waukubali muungano. Kama hautufai njia NI Raisi na wao pia wataifurahia, na NI KUWAPA UHURU WAO KWA KUVUNJA MUUNGANO
😨Nadhani uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na kuku
Umejaa ujinga,
But wengi wanaomchukia Nyerere ni walee wafuasi wa....
Mnahangaika sana na urais wa Samia, akija mtu wa bara hizi nyuzi zinapotea. Chuki za kipuuzi hazitusaidii kwani huyo Samia anafanya mengi ya maana yenye kugusa maisha ya watu wengi ambao hawamo humu JF.View attachment 2988212
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.
View attachment 2988271
Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.
Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.
View attachment 2988353
Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.
Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Naunga mkono hojaView attachment 2988212

Unataka kutuambia hakuwaza kama Tanzania watu watazaliana, watu watasoma nk, inamaana allifikiria Tanzania itaishia hapohapo.Nyerere aliongoza Tanzania ikiwa na watu chini ya milioni tano ikiwa na chuo kikuu kimoja tu pale Mlimani, ikiwa na rundo la wajinga kila sehemu.
Falsafa zake zilikuwa na mashiko enzi zile kwa mazingira ya wakati ule. Haipo mantiki yoyote ya kuhoji falsafa za wakati ule katika miaka ya sasa.
View attachment 2988212
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.
View attachment 2988271
Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.
Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.
View attachment 2988353
Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.
Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Zanzibar ni sawa na kinondoni kwa idadi ya watu, ni sehemu ndogo sana ya JMT, hizi nongwa zinamlenga Samia na urais wake na waanzilishi ni hao hao wanasiasa tutakaoyaona majina yao wakati wa kampeni mwakani wakiutaka urais.Unataka kutuambia hakuwaza kama Tanzania watu watazaliana, watu watasoma nk, inamaana allifikiria Tanzania itaishia hapohapo.
Hili bila shaka ndio limeleta madhara Kwa waliopo sasa kuwaza Leo na si Kwa niaba hata ya vizazi kumi mbele.
Falsafa zinapaswa kuishi.
Pointless.Mnahangaika sana na urais wa Samia, akija mtu wa bara hizi nyuzi zinapotea. Chuki za kipuuzi hazitusaidii kwani huyo Samia anafanya mengi ya maana yenye kugusa maisha ya watu wengi ambao hawamo humu JF.
Chuki zinawasumbua tatizo lenu.Pointless.
Out of Topic
Alichokiandika ni ukweli mtupu chukulia mfano setup ya mfumo WA elimu nchini....unaridhika nao?Nadhani uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na kuku
Umejaa ujinga,
But wengi wanaomchukia Nyerere ni walee wafuasi wa....
Unaona falsafa za Mwalimu JK haziishi kwa sababu unazitazama kwa mtazamo wa 2024, ikifika 2060 watakaokuwepo wataziona hizi falsafa za sasa zimepitwa na wakati.Unataka kutuambia hakuwaza kama Tanzania watu watazaliana, watu watasoma nk, inamaana allifikiria Tanzania itaishia hapohapo.
Hili bila shaka ndio limeleta madhara Kwa waliopo sasa kuwaza Leo na si Kwa niaba hata ya vizazi kumi mbele.
Falsafa zinapaswa kuishi.
Kwamba tunamchukia Muasisi au Tunachukia Wazenji?Chuki zinawasumbua tatizo lenu.