Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

Unaona falsafa za Mwalimu JK haziishi kwa sababu unazitazama kwa mtazamo wa 2024, ikifika 2060 watakaokuwepo wataziona hizi falsafa za sasa zimepitwa na wakati.
Mwalimu aliukengeuka Mkataba wa Muungano uliowekwa Enzi hizohizo na nyakati hizohizo.

Why aliukengeuka?
Huu Muundo wa Muungano unamaanisha ulikuwa sahihi kwa enzi hizo au walidanganya watu waliokubaliana nao uwe sahihi?
 
Nyerere ni binaadamu kila mwana Adam ana makosa yake sasa imekuwa vibaya Nyerere kukosolewa makosa yake?.
Nyerere alileta muungano kipindi cha vita baridi. So, he was right by then. Lakini kwa sasa kile kilichoonekana sahihi sasa hakina umuhimu uleule. Tatizo waliomrithi wamefanya fikra zake kama andiko takatifu. Muungano lazima uhojiwe sasa.
Fikra za Nyerere kuhusu ujamaa na vijiji vya ujama ilikuwa utopian. Ni vigumu kuwafanya watu kumi, mia nk. kufikiri na kutenda sawa katika uchumi na maisha kwa ujumla. Ni lazima kuwe na mawazo na utendaji binafsi. Hii ya ujamaa imejenga udikteta wa kila kitu, mawazo, maamuzi nk. Hii imerithiwa na ccm kufikiri ni wao tu wanaweza kutawala na nature ya ujamaa ni ubabe na ndio inaitesa nchi hadi leo.
In reality, Nyerere was not democratic although he was very intelligent in his time.
 
Mwalimu aliukengeuka Mkataba wa Muungano uliowekwa Enzi hizohizo na nyakati hizohizo.

Why aliukengeuka?
Huu Muundo wa Muungano unamaanisha ulikuwa sahihi kwa enzi hizo au walidanganya watu waliokubaliana nao uwe sahihi?
Una ushahidi gani kwamba alikengeuka?, unaijua sababu haswa ya Tanzania kuungana na Zanzibar mwaka ule wa 1964 na sio 1970 au 1971?.
 
Nadhani uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na kuku

Umejaa ujinga,

But wengi wanaomchukia Nyerere ni walee wafuasi wa....
1715760119299.jpg

Wewe ndiye kuku Mkuu sasa
 
Si huyo tu, na yule wa pale ng'ambo aliyewatimua waarabu kwenye himaya yao huku akitamani kuoa mabinti zao. 🤔
 
View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

View attachment 2988271

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

View attachment 2988353

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Una soft copy yake hicho kitabu cha The dark side.....?

#YNWA
 
ukiona umeshindwa kumuelewa Nyerere jua unafikra za chini sana!. wewe ni mpuuzi wa mwisho hufai hata kupewa uenyekiti wa nyumba mbili!.
 
Nyerere aliongoza Tanzania ikiwa na watu chini ya milioni tano ikiwa na chuo kikuu kimoja tu pale Mlimani, ikiwa na rundo la wajinga kila sehemu.

Falsafa zake zilikuwa na mashiko enzi zile kwa mazingira ya wakati ule. Haipo mantiki yoyote ya kuhoji falsafa za wakati ule katika miaka ya sasa.
bado tunayo mazwazwa mpaka Leo!
 
View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

View attachment 2988271

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

View attachment 2988353

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Huenda itabidi nitafute muda nikusome kwa lazima tu, maana ni siku kadhaa naona hiki kichwa cha mada yako kikiendelea kuwepo hapa.
Nikizungumzia hicho kichwa cha mada chenyewe tu, kimepinda. Ndiyo sababu inayonikatisha tamaa kusoma hayo mengine yaliyo elezwa huko ndani.
Sasa, unataka nichambue hicho kichwa cha mada uone jinsi kilivyo cha hovyo? Niite. Nitaitika.
 
huyu jamaa nasikia alimfungia mshikaji jela ya eneo yaani asitoke nje na wilaya yake,alimtapeli karume ila yapo mengi nyuma ya pazia yanasemwa.

CCM ndiyo muasisi wao,tabia ya hichi chama nazani mnakijua.
 
Hii ni hakika..

Kuna misingi ya miungu ya uongo na ushetani wenyewe umejengwa ktk nchi yetu.

Hii madhabahu (altar) ya miungu na ushetani huu uko kwenye ikulu yetu kwenye "kiti cha u - Rais"..

Thank God, kwamba sasa watu tunaanza kuuona ukweli huu kwa njia dhahiri kabisa..

Na vijana wa kizazi hiki hatuko tayari kuona hii kitu inaendelea..

Tuko tayari kubomoa misingi (madhabahu) za kishetani zilizojengwa ktk nchi yetu kwa kutumia silaha za masafa marefu toka mbinguni ktk ulimwengu wa roho..
Are you for real!
Hata haileweki ni kipi unakilenga hasa katika maneno mengi haya uliyoweka hapa.
 
Waliojaribu kumpinga kipindi hicho walipotezwa katika utawala wake hakukua na wazo mbadala(huyu alifuta vyama vya kisiasa na yeye kuwa ndio msemaji wa mwisho hakukuwahi kuwepo chaguzi yoyote ya kidemokrasia chini yake.

Asilimia 90% ya watu walioenda ughaibuni na kugoma kurudi tangu miaka hiyo ni kutokana na sera zake zilizoliacha taifa kwenye umasikini mkubwa hadi leo.

Katiba hii hii alikiri ina mamlaka na inampa nguvu kubwa ambayo anaona mbeleni itatuletea dikteta ila yeye mwenyewe alishindwa kuibadili mpaka nchi ikazama kwa miaka 5 na nusu chini ya mhutu.

Huyu nitabaki kumuheshimu tu kama msomi ila alipofeli ni kutosikiliza mawazo mbadala mfano mzuri ni alivyotofautiana na rafiki yake Oscar Kambona.

Cha kushangaza alipotoka madarakani ndio akageuka mkosoaji mkubwa wa serikali huku akiwataja Mwinyi na Kolimba kwenye kitabu chake na Kolimba alipojibu mapigo akaishia kupotea maana huyu alikuwa na nguvu hata baada ya kustaafu.
 
Matatizo ni ya Muda mrefu, Tangu miaka ya 80
Nyerere alifariki miaka 25 iliyopita, kuendelea kuongelea falsafa zake leo hii ni ukosefu mkubwa wa mawazo mapya, mawazo mbadala.

Pia ni aibu kumzodoa marehemu wakati kuna kizazi kipya kabisa cha uongozi kinachofanya shughuli za maana sana huko bara walipo wananchi wengi.

Humu mitandaoni ndio SSH anaonekana hafanyi lolote lakini ukienda huko mikoanii na kuona hizo zahanati anazozijenga kila wilaya na namna huduma za maji zinavyosambazwa kila kona utagundua kuwa vijana wa humu JF wamepotea kabisa.
 
Back
Top Bottom