Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

Hii ni hakika..

Kuna misingi ya miungu ya uongo na ushetani wenyewe umejengwa ktk nchi yetu.

Hii madhabahu (altar) ya miungu na ushetani huu uko kwenye ikulu yetu kwenye "kiti cha u - Rais"..

Thank God, kwamba sasa watu tunaanza kuuona ukweli huu kwa njia dhahiri kabisa..

Na vijana wa kizazi hiki hatuko tayari kuona hii kitu inaendelea..

Tuko tayari kubomoa misingi (madhabahu) za kishetani zilizojengwa ktk nchi yetu kwa kutumia silaha za masafa marefu toka mbinguni ktk ulimwengu wa roho..
Tuanze kuponda kichwa cha koboko CCM
 
Badali ya kumwita mtu" illiterate" ,unamwita mtu " msikivu".
Yule mdada mmoja( mzungu) alikua anamsifu sana Samia jana.
Anasema,"you can take a girl out of Zanzibar,but you can't take Zanzibar out of a girl.'
Mimi sijamsifu rais huyu,lakini pia bado sijampinga.
Kwa sababu ukimsifu mtu,utaambiwa tupe sababu kumi. Ukimkashifu,utaambiwa tupe sababi kumi kwa nini umemkashifu.
Kama rais huyu atapata matatizo,nitasoma katika gazeti,as a complete surprise, as it was in the case of Magufuli.
Kwa vile it is not safe kuwasema vibaya viongozi waliopo madarakani sasa hivi,unataka kuwasema vibaya viongozi wa zamani.
Sasa,mimi nipo kijijini,na hapa, I am just 50 metres from the grave.
Umesema mwenyewe Nyerere alikuwa left- wing politician. Kwa hiyo it is irrelevant kumtaja sasa kwa sababu hiyo siyo siasa yetu sasa.
Maoni ya mtoto wake haya.
 
View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

View attachment 2988271

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

View attachment 2988353

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.


Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
kwa kumulinganisha na nani??
Lazima tutafute wa kumlinganisha kwanza?? otherwise mwandishi hana akili
 
Nyerere ni binaadamu kila mwana Adam ana makosa yake sasa imekuwa vibaya Nyerere kukosolewa makosa yake?.
Unahangaika na marehemu wakati wenzetu wanapambana na teknolojia kuhakikisha wanatafuta maisha kwenye sayari zingine,waafrika tulilogwa na malaika mchafu
 
Unahangaika na marehemu wakati wenzetu wanapambana na teknolojia kuhakikisha wanatafuta maisha kwenye sayari zingine,waafrika tulilogwa na malaika mchafu
Wewe umefanya lipi la maana kwenye kufatilia hayo ya kwenye sayari mpaka sasa?.
 
Tunamheshimu lakin alikuwa Tapeli mkubwa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ana sura nyingi katika siasa za Tanzania, Africa na Duniani kote.
Nyerere mara baada ya kuwa Raisi wa Tanganyika alikuja gundua kuwa bila Nchi za kiafrika kuwa huru Tanganyika baadae Tanzania haijakuwa uhuru.Akaja tumia nguvu nyingi na muda mwingi kwenye vita vya ukombozi hasa kusini mwa Africa.
Akiwa anatawala nchi maskini iliojaa maradhi na wajinga pammoja na wanyonyaji akaanzisha Azimio la Arusha lakini utekelezaji wake ulileta shubiri badala yafaraja.
Kama haitoshi kupinduliwa kwa rafiki yake Dr Milton Obote raisi wa Uganda na General Iddi Amin kulileta changamoto nyingi ilisababisha kuvunjika Jumuiya ya Africa Mashariki na baade vita vya Kagera
Baada ya kushinda vita vya Kagera ,taasisi za Fedha World Bank na IMF walitaka Raisi Nyerere afanye reform za kiuchumi,ikashindikana wakamyima pesa za maendeleo na kuwekewa Tanzania vikwazo vya uchumi.
Uhaba wa vitu muhimu na hali ya maisha ikazidi kuwa ngumu,ulanguzi ukapaa,na ndipo matukio ya kuteka ndege ya ATC kumshindikiza achie madaraka na baadae wanajeshi wakala njama za kupindua serikali yake na huku Marekani akiongeza vikwazo vya uchumi,ilipofika 1985 Mzanaki akasalimu amri hakutaka kuendelea na uraisi.

Yawezekana Nyerere ilibidi wakati mwingine afanye maamuzi magumu yalioleta simanzi kwa kutetea ukombozi kusini mwa Africa, kutaifisha mali za makabaila,uanzishaji wa vijiji vya Ujamaa .Chimbuko la Vita vya Kagera.Msajili wa Nyumba,kunyanganywa watu magari yao ya mitumba,maduka ya kaya,Scopo,State House clearance kibali cha kusafiri nchi ya nje.Nchi ilikuwa na vibali vya sukari,mchele,unga wa yanga,kununua bati,soda,beer eee R.I.P Mwalimu Julius Nyerere.
 
Back
Top Bottom