Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

View attachment 2988271

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

View attachment 2988353

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Hakuna mtawala yoyote hapa duniani asie na dark side, kama yupo mtaje.
Kila mtawala ni binadamu sio malaika, kukosea kupo.
 
Kwamba tunamchukia Muasisi au Tunachukia Wazenji?
Hatujielewi sisi wa huku bara. Na wengi wetu ni wakristo hivyo msingi wa mada hii ni udini unaojificha katika kuhoji masuala ya muungano.

Msingi wa hizi hisia ni chuki dhidi ya Samia na uislamu wake walianza chokochoko wakati wa kupitisha mkataba wa DP World huu ni muendelezo tu.
 
Hii ni hakika..

Kuna misingi ya miungu ya uongo na ushetani wenyewe umejengwa ktk nchi yetu.

Hii madhabahu (altar) ya miungu na ushetani huu uko kwenye ikulu yetu kwenye "kiti cha u - Rais"..

Thank God, kwamba sasa watu tunaanza kuuona ukweli huu kwa njia dhahiri kabisa..

Na vijana wa kizazi hiki hatuko tayari kuona hii kitu inaendelea..

Tuko tayari kubomoa misingi (madhabahu) za kishetani zilizojengwa ktk nchi yetu kwa kutumia silaha za masafa marefu toka mbinguni ktk ulimwengu wa roho..
Porojo
 
Hatujielewi sisi wa huku bara. Na wengi wetu ni wakristo hivyo msingi wa mada hii ni udini unaojificha katika kuhoji masuala ya muungano.

Msingi wa hizi hisia ni chuki dhidi ya Samia na uislamu wake walianza chokochoko wakati wa kupitisha mkataba wa DP World huu ni muendelezo tu.
Mbona unachanganya vitu, hoja ya Muungano imeanza leo?
 
Zahanat
Nyerere alifariki miaka 25 iliyopita, kuendelea kuongelea falsafa zake leo hii ni ukosefu mkubwa wa mawazo mapya, mawazo mbadala.

Pia ni aibu kumzodoa marehemu wakati kuna kizazi kipya kabisa cha uongozi kinachofanya shughuli za maana sana huko bara walipo wananchi wengi.

Humu mitandaoni ndio SSH anaonekana hafanyi lolote lakini ukienda huko mikoanii na kuona hizo zahanati anazozijenga kila wilaya na namna huduma za maji zinavyosambazwa kila kona utagundua kuwa vijana wa humu JF wamepotea kabisa.
Zahanati na Muungano wapi na wapi?

Falsafa za Mwalimu mambo ya Samia kuhusu Maji na Afya yametoka wapi?
Mbona unachanganya au unavamia uzi ichwakichwa.

Kwanza mambo ya afya si ya Muungano mbona Mzanzibari anahangaika na Afya za Tanganyika, wakat Mtanganyika haruhusiwi kuhusimamia Afya za Zanzibar?

Je ni Falsafa za Nani tunaziishi hapo kama si za hayati Kambarage?
 
Nyerere aliongoza Tanzania ikiwa na watu chini ya milioni tano ikiwa na chuo kikuu kimoja tu pale Mlimani, ikiwa na rundo la wajinga kila sehemu.

Falsafa zake zilikuwa na mashiko enzi zile kwa mazingira ya wakati ule. Haipo mantiki yoyote ya kuhoji falsafa za wakati ule Katika miaka ya sasa.
... kama bado zinatukwamisha, kwa baadhi ya waumini wake kuturudisha miaka ya 1960s kila siku, kwanini tusihoji na kukosoa?
 
View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

View attachment 2988271

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

View attachment 2988353

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALI
Hakuwa mwanademokrasia, alienda Zanzibar kubadilisha matokeo na huku bara kuhakikisha Mrema haingii ikulu. Hayo mambo yanamtia doa jeusi
 
Nikifatilia historia ndio nitapata maana ya keai za uhaina?
Sasa utazipata wapi kama hujafuatilia historia ya nchi yako. Kafuatilie kwanza ndo uje kubisha.

Unamjua Titi Mohammed Salum Mandangwa?

Unamjua Oscar Kambona.

Among others.

Kwa kifupi Babu alikuwa hataki kuwa challenged na aliwapa makosa ya uhalifu tofautitofauti wapingaji wake IKIWEMO UHAINI

“BY THE ORDER OF THE PEAKY FUCKING BLINDERS” 😎
 
Zahanat

Zahanati na Muungano wapi na wapi?

Falsafa za Mwalimu mambo ya Samia kuhusu Maji na Afya yametoka wapi?
Mbona unachanganya au unavamia uzi ichwakichwa.

Kwanza mambo ya afya si ya Muungano mbona Mzanzibari anahangaika na Afya za Tanganyika, wakat Mtanganyika haruhusiwi kuhusimamia Afya za Zanzibar?

Je ni Falsafa za Nani tunaziishi hapo kama si za hayati Kambarage?
Zanzibar ni nchi ndogo sana ni sawa na wilaya mojawapo ya mkoa wa Morogoro. Tumeungana nao kwa sababu za kijiografia tu, hawatupungizii chochote na ni ajabu sana kuona wanatuumiza vichwa vyetu.

Falsafa za Mwalimu zilikuwa na mashiko kwa wakati ule, sisi tunaziona zmepitwa na wakati kwa sababu tunaishi katika dunia ya 2024. Zina mashiko kwa Tanzania yetu.
 
... kama bado zinatukwamisha, kwa baadhi ya waumini wake kuturudisha miaka ya 1960s kila siku, kwanini tusihoji na kukosoa?
Mada nyingi huja na kuondoka kulingana na matukio yanayoendelea. Hakuna namna falsafa za Mwalimu zimewahi kuikwamisha Tanzania.

Zimekuza umoja huu huu unaoliweka taifa hili kwenye ramani na heshima kimataifa, zinaweza vipi kuwa zimepitwa na wakati?.

Kuvunja umoja huu ni rahisi sana lakini kuurudisha tena kuna gharama kubwa na nyingine zinahusiana na uhai wa baadhi yetu.
 
Sasa utazipata wapi kama hujafuatilia historia ya nchi yako. Kafuatilie kwanza ndo uje kubisha.

Unamjua Titi Mohammed Salum Mandangwa?

Unamjua Oscar Kambona.

Among others.

Kwa kifupi Babu alikuwa hataki kuwa challenged na aliwapa makosa ya uhalifu tofautitofauti wapingaji wake IKIWEMO UHAINI

“BY THE ORDER OF THE PEAKY FUCKING BLINDERS” 😎
Hauko makini ndio maana hujagundua ninachokukosoa. Kasome quote yangu ya kwanza, angalia rangi ya njano.
 
Back
Top Bottom