Huwezi kumuelewa Nyerere katika kila jambo, mimi huwa simuelewei Nyerere katika Katiba aliyotuachia, muungano na mwenge.ukiona umeshindwa kumuelewa Nyerere jua unafikra za chini sana!. wewe ni mpuuzi wa mwisho hufai hata kupewa uenyekiti wa nyumba mbili!.
Ujumbe umefika mwendazake hakuwa shujaa alikuwa luciferNi NJE YA MADA . Kaanzishe uzi au tafuta nyuzi zinazomuhusu
Na walikutwa na hatia na mahakamaTiti
Oscar
Aboud
Tuntemeke
Among others
Mahakama ya Juliasi 😁Na walikutwa na hatia na mahakama
Bado unaonesha immaturity.Ujumbe umefika mwendazake hakuwa shujaa alikuwa lucifer
Ndiyo. Tanganyika inaitawala Zanzibar. SMZ ni kama mchezo wa kitoto tu. Watoto wakivuka mipaka mzazi anachukuwa hatua.Kwa maana ya kuwa Tanganyika inaitawala Znz ?
Hii hukumu ya mahakama kuu kuna reference sijaokota kwa hiyo punguza upumbavuKupindua Serikali nani? Jumbe, Titi au G55?
Waraka wa Jumbe ulikuwa unapindua serikali.
Na hayo maelezo umeokota wapi??
Mahakama ya Julius ni ipi?Mahakama ya Juliasi 😁
Hata Mandela alikutwa na hatia.Na walikutwa na hatia na mahakama
Ndio Mandela alitaka kupindua serikali kwani nani alilalamikia hukumu ya Mandela?Hata Mandela alikutwa na hatia.
Noted.Ndiyo. Tanganyika inaitawala Zanzibar. SMZ ni kama mchezo wa kitoto tu. Watoto wakivuka mipaka mzazi anachukuwa hatua.
Ya Aboud Jumbe, Idrisa Abdulwakil, Salmin Amour (alipotaka kubadilisha katiba), Seif Sharifu tunayajuwa.
We jamaa unachekesha sana.Hii hukumu ya mahakama kuu kuna reference sijaokota kwa hiyo punguza upumbavu
Kwani huijui?Mahakama ya Julius ni ipi?
Dikteta "uchwara"Alikuwa dikteta
JKN gakuwa uchwara alikuwa Dikteta kwelikweliDikteta "uchwara"
Hata kwa sasa mahakama zetu haiko huruKwani huijui?
Kwamba Mahaka ilikuwa juu ya Juliasi?
Hata sasa hivi sasa maelekezo yanatoka juu Tz haijawahi kuwa na mahakama huru ndio maana ccm wanaiba kura na mahakama zinahalalisha ushindi wa dhulma kwa hiyo sio Nyerere pekee aliekuaa juu ya sheriaWe jamaa unachekesha sana.
Wakat wa Nyerere, mzee akitaka kukufunga anatumia Nini.
Eti Jaji
Muundo wa Katiba ndo umefanya hivyo.Hata sasa hivi sasa maelekezo yanatoka juu Tz haijawahi kuwa na mahakama huru ndio maana ccm wanaiba kura na mahakama zinahalalisha ushindi wa dhulma kwa hiyo sio Nyerere pekee aliekuaa juu ya sheria