Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

Icon wa uzalendo gani? Wa kuua , kupiga risasi na kuteka watu?

Au hujui maana ya uzalendo?

Nimekwambia kamjengee iyo sanamu chooni kwako mpuuzi wewe!
Outdated track, please buy the new one "JPM THE BEST PRESIDENT EVER IN TZ LAND WITH UNFORGETTABLE LEGACY"
 
Chini ya bahari ili liwe kivutio cha samaki, wavuvi watafaidika kwa kupata samaki wengi eneo hilo.
Maana Samaki watakua wanalishangaa sanamu basi wavuvi wataweza kujipatia kitoeo na kuja kutuuzia Malikiti na uchumi utapanda.
 
Jengeni kwenu? Hata havisikii unatetea nn huoni aibu? Nn kafanya kuharibu uchumi, demokrasia, biashara,ajira, tuwe wote maskini ambakie yeye na watu wake watungawie pesa? Unasinyaza uchumi??? Siasa yeye tu???. Kukurupukia miradi mingi mikubwa?? Eti tunajenga kwa hela za ndani.
 
AMA kweli dunia ina mambo! Yaani tujenge sanamu la dictator????
Mwizi na muuaji?
 
..mwenge wa uhuru ukimbizwe pamoja na sanamu ya Jpm kila mwaka.

..kujenga sanamu Ubungo hatutakuwa tumemuenzi vya kutosha kwa kufikia Watz ktk kila pembe ya nchi yetu.

..Kuna Watz wanazaliwa mpaka wanakufa hawajawahi kufika Ubungo.

Cc Tindo
Ila nyie mtauwa watu na pressure.

Hhahah. Maguli City pale jamani.
 
hata na makuburi mtoa mada ujengewe huko alipozikwa ukamtukuze vizuri
 
..mwenge wa uhuru ukimbizwe pamoja na sanamu ya Jpm kila mwaka.

..kujenga sanamu Ubungo hatutakuwa tumemuenzi vya kutosha kwa kufikia Watz ktk kila pembe ya nchi yetu.

..Kuna Watz wanazaliwa mpaka wanakufa hawajawahi kufika Ubungo.

Cc Tindo
True
 
Misitu ya Tabora chagueni huko....
 
Mkuu yule mwamba alikuwa na maono, wewe uliyepata kibarua serikalini kwa vyeti feki akakubalasa huwezi kumuelewa. Visionary leaders wanaeleweka baada ya muda fulan kama sasa hivi nchi imeelewa vision kubwa aliyokuwa nayo baba yetu Magufuli.
Visionary leader hawezi kuwa magufuli wewe. Soma vizur uelewe maana ya visionary leader. Nyerere nae tumuiteje sasa?
 
Lijengwe Chato
 

Naona kifo Cha Magufuli kiliwaacha na msongo wa mawazo. Maana mnajifanya hamuoni mabaya aliyowatendea wengine. Wakati anatesa na kupoteza wengine mlikuwa mnacheka na kufurahi.
 
Hao tumewazoea ni wale wenye vyeti feki na mashoga hawajawai kumpenda mtenda haki.

Ndio mlichobakiza. Alitenda haki yule muuaji?. Mpaka leo damu ya been saanane na Azory inamlilia. Ni vizuri aliondoka naye aonje mauti maana aliona binadamu wengine hawafai kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…