We jamaa Mbowe kakukosea nini mbona kama una kinyongo fulani hivi!?.Ni kweli, ingawa CHADEMA tumefanya kosa la kutokuwa na succession plan. Kila ikifika uchaguzi wa mwenyekiti tunadai mwamba tuvushe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa Mbowe kakukosea nini mbona kama una kinyongo fulani hivi!?.Ni kweli, ingawa CHADEMA tumefanya kosa la kutokuwa na succession plan. Kila ikifika uchaguzi wa mwenyekiti tunadai mwamba tuvushe.
We jamaa Mbowe kakukosea nini mbona kama una kinyongo fulani hivi!?.
kung'atuka uongozini sijamaanisha wasiwe wanachama au hata washauri tu, lahashaa..
wamefanya kazi kubwa, nzuri sana na iliyotukuka inatosha, Demokrasia ya Chadema inawashukuru, haina haja kisubiri kuvurumushwa kama mbatia,
ni wakati muafaka sana sasa rika mpya, mawazo mapya, fikra mpya, uelekeo mpya na pumzi mpya kushika hatamu na ichukue nafasi kuelekea mbele 🐒

Tatizo lenu mkitishwa mna retract.
Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA
Kwani kwenye uzi huo uliishia wapi?
Kwamba kukomaa na mnachoamini, ubavu umepatikana sasa?
Kwamba watoke wenyewe labda kama jambazi anaweza kujihukumu kunyongwa!
imhotep au nasema uongo ndugu zangu?
Ngoja uchaguzi ufike tutakuwa la kufanya. Ila inyeshe mvua au jua, Mbowe hayakuwa mwenyekiti Tena wa CHADEMA.
Mkuu suala si kuwa au kutokuwa ila tuhimize demokrasia kamili chamani.
Demokrasia ikikamata vilivyo sauti za wengi itaongea kwenye nyanja zote zikiwamo viongozi hadi agenda.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Uzuri ni kuwa aliyelamba asali anajulikana.
COVID-19 hawakaribishwi.
Chawa wote waufyate kama vipi muda wa kuchapana viboko ikibidi ni huu.
Bottom line hakuna kuwaachia chama:
Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!
Sidhani kama amewahi kupewa. Angepewa tungejua na CCM wangeropoka.
Aisee! Hata John Mrema siku aliondolewa kwenye nafasi yake aliyoikalia kwa zaidi ya muongo mmoja atahamia ccm.
Tunashukuru kwa andiko lako
Chadema imeoza sawa na sisiem
Rushwa inalitesa Taifa
Mbio za mwenge wa chadema ni kutupumbaza. Hakuna upinzani ni vikundi vya biashara.
Get rid ya wenye mazoea wasafishe chama.
Lissu Mwenyekiti tuanze naye wengine wote waendee wakalee wajukuu…
Tz ni yetu sote sio ya vijikundi vya watu.
Wale Covid 19 ni baraka za chama anayepimga ajitafakari.
Nadhani kwa hatua iliyofikiwa na chadema haihutaji kueneza tena, ishaenea kila mahali na kila mwananchi anaifahamu.Ndio shida inaanzia hapo. Mimi nadhani Kuna vijana wangepewa hiyo nafasi ya Mrema wangefanya vizuri Sana. Maana Mrema ndio mwenezi wa chama ila amejifungia ndani hatoki.