Ni wakati turuhusu New Breed CHADEMA

Ni wakati turuhusu New Breed CHADEMA

Ndio shida inaanzia hapo. Mimi nadhani Kuna vijana wangepewa hiwawaya mno yo nafasi ya Mrema wangefanya vizuri Sana. Maana Mrema ndio mwenezi wa chama ila amejifungia ndani hatoki.
Mrema hafai kua kwenye nafasi ile,anapwaya mno
 
Ni kweli, ingawa CHADEMA tumefanya kosa la kutokuwa na succession plan. Kila ikifika uchaguzi wa mwenyekiti tunadai mwamba tuvushe.
Wewe umo chadema,hujafanya yote haya

Sisi tulio nje tukusaidie nini?

I see ni chuki kubwa na mwenyekiti tu ndio inawaendesha,on the back of all those ni CCM inawatuma!

Kana kwamba CCM ni bora sana
 
Punguza kebehi, hakuna chama kinaanzishwa na familia kasome sheria ya vyama vya siasa. Halafu mwaka 1992 nilikuwa chuo kikuu nasoma.
Vyama vinaanzishwa na wanadamu ambapo hawa wanadamu wana familia

Labda uniambie vinaanzishwa na ng'ombe
 
Back
Top Bottom