Ni wakati turuhusu New Breed CHADEMA

Ni kweli, ingawa CHADEMA tumefanya kosa la kutokuwa na succession plan. Kila ikifika uchaguzi wa mwenyekiti tunadai mwamba tuvushe.
We jamaa Mbowe kakukosea nini mbona kama una kinyongo fulani hivi!?.
 
We jamaa Mbowe kakukosea nini mbona kama una kinyongo fulani hivi!?.

Wala Mbowe hajanikosea Mkuu. Natoa maoni yangu bila unafiki. Atanikosea siku akitangaza kugombea uenyekiti mwaka huu, wakati alishatuahidi atastaafu. Hapo atanikosea kweli na nitampinga waziwazi.
 
Umeongea ukweli mkuu.
 
Umeongea ukweli mkuu.
 
Ngoja uchaguzi ufike tutakuwa la kufanya. Ila inyeshe mvua au jua, Mbowe hayakuwa mwenyekiti Tena wa CHADEMA.

Mkuu suala si kuwa au kutokuwa ila tuhimize demokrasia kamili chamani.

Demokrasia ikikamata vilivyo sauti za wengi itaongea kwenye nyanja zote zikiwamo viongozi hadi agenda.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Ni kweli kabisa ulivyosema.
 
Uzuri ni kuwa aliyelamba asali anajulikana.

COVID-19 hawakaribishwi.

Chawa wote waufyate kama vipi muda wa kuchapana viboko ikibidi ni huu.

Bottom line hakuna kuwaachia chama:

Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!

Hakuna kuwarudisha wale wasaliti chamani. Ndio point yangu ya new breed inapokuja. Tu recruit madada wengine baadala ya kuwaza kuwarudisha akina Halima Mdee.
 
Sidhani kama amewahi kupewa. Angepewa tungejua na CCM wangeropoka.

Unajua ipo tofauti ya kupewa, lakini ukakataa.

Hivyo kwamba attempt za kupewa zimekuwapo?

Zimekuwapo na tofauti na mwenye hoja yake bado tumepona.

Rejea kumsoma mjumbe kutokea kizimkazi yule.
 
Aisee! Hata John Mrema siku aliondolewa kwenye nafasi yake aliyoikalia kwa zaidi ya muongo mmoja atahamia ccm.

Ndio shida inaanzia hapo. Mimi nadhani Kuna vijana wangepewa hiyo nafasi ya Mrema wangefanya vizuri Sana. Maana Mrema ndio mwenezi wa chama ila amejifungia ndani hatoki.
 
Sawa sawa nakuunga mkono.
 
Unajua ipo tofauti ya kupewa, lakini ukakataa.

Hivyo kwamba attempt za kupewa zimekuwapo?

Zimekuwapo na tofauti na mwenye hoja yake bado tumepona.

Rejea kumsoma mjumbe kutokea kizimkazi yule.

Nimekuelewa mkuu.
 
Du...wapinzani wa CDM na labda hata baadhi ya wanachama wake wana tamani kuona chama kinaongozwa na mtu mwingine.

Labda kama siyo gharama sana CDM ikodi timu ya ushauri kama ule wakati wa kumpokea Lowasa. Maana ilikuwa ni uamuzi mgumu kwelikweli.
 
Ndio shida inaanzia hapo. Mimi nadhani Kuna vijana wangepewa hiyo nafasi ya Mrema wangefanya vizuri Sana. Maana Mrema ndio mwenezi wa chama ila amejifungia ndani hatoki.
Nadhani kwa hatua iliyofikiwa na chadema haihutaji kueneza tena, ishaenea kila mahali na kila mwananchi anaifahamu.

Nguvu kubwa iwekwe kwenye kupambana na mifumo ya sheria na katiba ili chaguzi ziwe huru na haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…