Pride Tanzania
New Member
- Dec 19, 2024
- 3
- 22
Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu:
Itakuwa ndiyo nguzo kuu kujenga Chama Kipya kisiasa mbadala wa CHADEMA.
Kishiriki uchaguzi utakaoweza kupata wabunge, kwa kuwa bila CHADEMA naona huu ndio uchaguzi rahisi kuliko chaguzi zote.
Napendekeza Chama Kipya au Chama mbadala kama:
Demokrasia Makini
UPDP
Safu iwe ifuatavyo:
Kiongozi Mkuu: Freeman Mbowe
Kaimu Kiongozi Mkuu Bara: Ezekia Wenje
Kaimu Kiongozi Mkuu Znz: Salum Mwalim
Mwenyekiti: Benson Kigaila
Makamu Mwenyekiti: John Mrema
Makamu Mwenyekiti Znz: [....]
Katibu Mkuu: Halima James Mdee
Naibu Katibu Mkuu: Julius Marwa
Mwanasheria Mkuu: Dickson Matata
Mkurugenzi wa Uenezi: Boniface Jacob
Mkurugenzi wa Fedha: Esther Matiko
Mkurugenzi Mawasiliano na Itifaki: Henry Kilewo
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje: Catherine Ruge
Mkurugenzi wa Siasa, Sera na Mikakati: Godlisten Malisa
Mkurugenzi wa Uchaguzi na Operesheni: Suzan Kiwanga
Mkurugenzi wa Uenezi: Ole Sosopi
Mkuu wa Baraza la Wanawake: Esther Bulaya
Umoja huu utakuwa ndiyo ile taswira ya ile CHADEMA iliyokuwa ikiinyima usingizi CCM chini ya Mwenyekiti Mbowe... Makakati uwe kukamata majimbo kwenye huu uchaguzi.