Ni wakati wa kumpa credit zake Baraka Mpenja

Commentators wa Tanzania hawajaiva
Sehemu ya kurelax yeye anatupigia makelele
Sehemu ya kushangilia wao wanatoa history ya mchezaji

Poor they still have a way to go,they should learn from developed
 
Commentators wa Tanzania hawajaiva
Sehemu ya kurelax yeye anatupigia makelele
Sehemu ya kushangilia wao wanatoa history ya mchezaji
Poor they still have a way to go,they should learn from developed
Kweli kuna sehemu wanateleza.
 
Ni wakawaida sana huyu jamaa tuache unafiki azamtv bado haijapata MTU sahihi wa matangazo ya TV kwenye mpira
 
Shabiki wa Mikia FC huyo ndo huwa anaipamba.
 
We akil zako hazina akili
 
Wacha brah brah Braza...
Big up Mpenja
 
Mm yanga ila jamaa namuelewa kinyama alafu ukiangalia mwili wake na sauti yake ni vitu viwili tofauti. Kwangu mm kwa sasa watangazaji wa mpira wakali bongo
1. Barack Adson Mpenja
2.Ashimu Ibwe
 
Huyo jamaa akajifunze kutangaza mpira. Mpira hautangazwi hivyo. Anatia kichefuchefu kumskiza.
 
Hua nafikiri hili hua naliona pekeangu,anazidisha mpaka anatoka kwenye uhalisia, maneno yanapoisha inabidi atangaze kawaida tu.

Siku hizi naona anaandaa kabisa akaseme Nini goli likifungwa nahapo ndipo inapokosa uhalisia, wakati hivyo vitu vinakuja vyenyewe tu kama freestyles
 
Hii nafikiri ni comment bora toka Mpenja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…