Ni wakati wa kumpa credit zake Baraka Mpenja

Tena maneno yake huwa hayana hata maana... Ya kuropoka tu. Utoto mwingi na ushamba binafsi huwa napenda anavyotangaza Bwigane.


 
Ni kweli anastahili pongezi,tuzo na zawadi kemkem
 
Tatizo lako wewe na utopolo ni wataalamu wa kulalamika kama demu mwenye mimba.
Ulitaka asifie nini kama pira lenyewe gimbi?
Huyo ukitaka umuelewe vizuri awe anatangaza mechi ya Simba au Mbao dhidi ya Yanga halafu Yanga wafungwe goli! Utamsikia what a goal! fantastic! bla bla nyingiii! Nahisi ni mshabiki wa mbumbumbu fc kama sikosei! Mimi simpi credit kwakweli.
 
Hivi huyu Mwamba ndiye aliyetangaza goli la Kipenseli akimfunga Manula kwenye ligi ya 2019/2020? Kama ndiye basi anajua kukera watu!
Huyo jamaa kama matokeo hayupo up and wako unaeza mchukia...maana sneakers kweli ndo maana kuna watu wanachukulia maneno yake personally na wanamchukia kabisa yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…