OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
wanasema Mpenja alichekelea walivyofungwa 4 na SimbaKwenye huu uzi nimeona hasira za mashabiki wa Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanasema Mpenja alichekelea walivyofungwa 4 na SimbaKwenye huu uzi nimeona hasira za mashabiki wa Yanga.
Kuna muda hayo maneno yanazidi na kukera sana. Awe professional aache uswahili mwingi. Ndio kutia chumvi mda mwingine sio mbaya ila ikizidi inakuwa kero sana sasa.
Nawashauri ma commentator wa kibongo wawasikilize akina Peter Drury watajifunza namna ya kuwa ma pro.
Still a learner though.
Hivi huyu Mwamba ndiye aliyetangaza goli la Kipenseli akimfunga Manula kwenye ligi ya 2019/2020? Kama ndiye basi anajua kukera watu!Yanga walipeleka malalamiko yao Azam huyu dogo asitangaze mechi ya Yanga Vs Simba kwamba anaumiza sana mashabiki wa Yanga,anaweza kuua yanga kwa presha.
Kudos Baraza
Ni kweli anastahili pongezi,tuzo na zawadi kemkemTusisubiri mpaka mtu afe ndio tumpe sifa.
Kwa heshima na taadhima, leo nimeona tumpe sifa zake mtangazaji bora wa mpira hapa Tanzania kwa upande wa televisheni, ndugu Baraka Hudson Mpenja wa Azam Tv.
Huyu jamaa ni mbunifu sana, ana matumizi ya maneno yake flani flani hivi ambayo huleta ladha pale unapofatilia hizi mechi zetu za kibongo. Hakika kwa wafatiliaji wa mpira wa kibongo watakuwa wanaelewa nazungumzia nini!
Kwasasa Baraka Mpenja ndio anaifanya Azam Tv iendelee kuwa juu katika mechi za kibongo, na amechochea watu wengi kufatilia ligi ya bongo, ni wakati sasa wa Azam Tv kumleta Mwl Kashasha ili awe mchambuzi kando ya utangazaji wa Mpenja.
Hongera sana, Baraka Mpenja endelea kutupa burudani kwa karama yako kubwa uliyopewa na Mungu.
Huyo ukitaka umuelewe vizuri awe anatangaza mechi ya Simba au Mbao dhidi ya Yanga halafu Yanga wafungwe goli! Utamsikia what a goal! fantastic! bla bla nyingiii! Nahisi ni mshabiki wa mbumbumbu fc kama sikosei! Mimi simpi credit kwakweli.
Japo kapicha kake please, simfahamu 🤫
Ahaaa Rashidi haendi mbinguniHuyu si ni Rashid huyu😀namfahamu, tunataka kapicha cha Baraka
Huyu si ni Rashid huyu😀namfahamu, tunataka kapicha cha Baraka
Huyo jamaa kama matokeo hayupo up and wako unaeza mchukia...maana sneakers kweli ndo maana kuna watu wanachukulia maneno yake personally na wanamchukia kabisa yaaniHivi huyu Mwamba ndiye aliyetangaza goli la Kipenseli akimfunga Manula kwenye ligi ya 2019/2020? Kama ndiye basi anajua kukera watu!
Tharatha bin sufuriau Chama anawapekecha pekeche.Huyo jamaa kama matokeo hayupo up and wako unaeza mchukia...maana sneakers kweli ndo maana kuna watu wanachukulia maneno yake personally na wanamchukia kabisa yaani