Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.

Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.

Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
 
Huwezi kumtoa John Mrema kabla ya Freeman Mbowe ni ndg hawa
 
Kwa hiyo unataka aseme uongo!
 
Back
Top Bottom