Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.

Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.

Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
Huyo ni msemaji wa mwenyekiti
 
c
Vijana wengi wanapenda mabadiliko, lakini kwa sasa wamekosa CHAMA sahihi , chadema sahihi kipotea, mpaka Mbowe aje atoke, kitu ambacho ni kigumu
Chama sahihi kipi,hata kikija kipya kitapwaya hivyo hivyo hadi pale itakapo tenganishwa chama na serikali.
 
Do you still believe that we have real oppositions......in TZ!?
 
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.

Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.

Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
amepwaya na alikuwa instrument ya DJ mbowe. pia ni mlevi, ndio yule alipiga ulabu na sugu mbeya hadi saa sita za usiku wakati wa uchaguzi wa nyasa. fukuzia mbali huko.
 
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama amelazimisnwa kufanya. Amejifungia ndani Sana, Wala hatembei kukieneza chama. Na siku akitoka kuongea anaongea pumba.

Kwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja, hivyo mwaka huu hata CHADEMA ikishinda kitongoji kimoja itakuwa ni ushindi mkubwa. Najiuliza ya kwamba mwaka 2019 CHADEMA ilijitoa kwenye uchaguzi ule ila Leo Mrema anatudanganya kwamba CHADEMA walishiriki.

Nia aibu kwa CHADEMA kuwa na Mwenezi aliyezubaa Kama huyu, ni muda kutafuta Mwenezi atakaye saidia kuleta vijana kwenye chama na kuwavutia watu kusikiliza hoja na matamko ya CHADEMA.
Uliona mbali sana Masta, leo Mrema karudi kwa Agustino wake...
 
Chadema inabidi wasuke mambo yao yakae Sawa kwa haraka wanze kuingiza sera zao kwa wananchi watu wanakata tamaa na CCM
 
Back
Top Bottom