econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
- Thread starter
- #61
Sijui kama mbowe atakubali hii kazi apewe Erythrocyte àache kazi za ndani.
haaaaaaaaa haaaaaaaaa haaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama mbowe atakubali hii kazi apewe Erythrocyte àache kazi za ndani.
Sijui kama mbowe atakubali hii kazi apewe Erythrocyte àache kazi za ndani.
Umeandika UongoWewe ndio Mrema mwenyewe 😂😂
Even chadema.Hapana CCM ndio matapeli na wakora.
Nilikuwa kumwambia kiongozi mmoja wa chadema kanda ya pwani, mashinji ataenda ccm wakati huo ni katibu mkuu pale cdm reason nakwambia huyu mashinji ana capability ndogo sasa kisiasa. Mbowe anapenda watu wenye uwezo mdogo km kigaila, salumu mwalimu na hata huyu mrema. Mbowe amefika mwisho.
Nakuunga mkono, huyo jamaa hana msaada kwa Chama. Halafu anapotosha anaposema 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja wakati kule Wilayani Rungwe kuna Halmashauri mojawapo mkurugenzi wake aliondolewa baada ya CHADEMA kushinda kitongojiKwanini nasema hivyo, huyu Mrema anadai CHADEMA haitajitoa kwenye uchaguzi kwasabubu mwaka 2019 CHADEMA haikushinda hata kitongoji kimoja,
Mrema ana cheo gani Chadema? Ukitutajia cheo chake ndio tunaweza kumjadili maana nahisi hata wewe hujui cheo cha Mrema.Erythrocyte anafanya kazi kubwa Sana kwa CHADEMA. Anaweza kuwa Mwenezi mzuri sana.
Hii nafasi ya uenezi mimi kama mwanachamaa wa kawaida nishailamikia san.
Ulimwengu huu wa digital anatakiw kufanya zaidi ya anavyofanya......hana ubunifu wala hana self motivation.
Nakuunga mkono, huyo jamaa hana msaada kwa Chama. Hala anapotosha anaposema 2019 CHADEMA haikushina wakati kule Wilayani Rungwe kuna Halmashauri mojawapo mkurugenzi wake aliondolewa baada ya cHADEMA kushinda kitongoji
Wewe ndo nani kwenye hicho chama.ulipaswa utambulike kwa jina ili tupime ushauri wako.isije kua ni mamluki ndani ya chama mnaotaka watu msio wataka waondoke ili mkizike chama.Unamwona mrema hafai uku hujaleta pendekezo lolote la unayemwona anafaa kwahiyo nafasi.Kuna watu mnajua sana kukosoa mitandaoni ila mkitakiwa kuonyesha mchango wowote hakuna au mkipewa nyie hizo nafasi unakuta ndo bure kabisa.Siku zote kuongea na kukosoa ni rahisi sana ikiwa jambo hulifanyi wewe.