denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Sijui hasa kwanini umeamua kuufunga huu mjadala hapa, japo hapo chini tena nakuona ukarudi na mchango mwingine, unarukia vitu nusu nusu tu!.EeeenHeeeee!
Niongeze kwamba:
Hiyo ndiyo Demokrasia sahihi.
Mkuu 'denoo J', bila ya kutaka kuingia kwenye malumbano hapa kwenye mada hii, niseme kwamba hicho kinachopingwa, kinachofanywa na CCM siyo Demokrasia hiyo, au unaonaje?
Kukipinga kisicho halali kwa njia yoyote ile haiwezekani njia hiyo ikawa haram na hicho kinachopingwa kikawa halali.
Hili ninaliachia hapa, mkuu wangu. Silijadili tena zaidi ya hapa.
Nikikusoma between the lines, nakuona kama uli- jump kwenye huu mjadala comment yako # 89 ili univizie, sijui lengo lako ndio ili kutafuta ushindi au vipi, ila kama ni ushindi, basi uchukue!.